Scolari Ndenga
JF-Expert Member
- Aug 4, 2008
- 271
- 43
Hakuna chochote hapo zaidi ya kuisafisha CCM dhidi ya tuhuma hizo za rushwa. Just buy time to see.
Dr.Hosea anategemewa leo kupasua jipu. Amesema maneno mengi yamesemwa kuhusu uchaguzi wa ccm kwamba ulitawaliwa kwa rushwa lakini hadi sasa hivi hamna aliye fikisha malalamiko takukuru. Sasa leo ameamua kupasua jipu. Hadi sasa haijafahamika ni jipu gani litapasuka leo. Ni hayo tu. mia
nikienda home kwenye laptop yangu nakugongea 'like'
Apasue nini wakati wenyewe wanakula rushwa ?
Watu wamehonga mpaka vitumbua hosea unataka kusema nini?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mhhhh! ni kweli?
siamini
Na wewe ni mmoja wao?