nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,500
- 19,962
acha uzabizabina ebu tueleze wewe na Slaa mulkutana wapi akakuamnia habari za mchange umeingia choo cha kike kamalizeni kwanza kujivua magamba ndio uje na uchuro wako sisi tunaendelea kujenga nchi yetu iliyowashinda ovyooooooooooo
soma tanzania daima la jumapili 29/5/2011 kabla hujakurupuka kuniita mzushi..