Takukuru iringa yamng'ang'ania mwenyekiti wa ccm

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Nimepigiwa simu na Katibu wa ccm katika wilaya moja ya mkoa wa Iringa , ikisema kuwa Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa amekamatwa kwa Rushwa akiwa Iringa Mjini, anatuhumiwa kwa Tendo la Utoaji Rushwa.
Naendelea Kufuatilia , nitawajuza zaidi.
 
[h=2][/h] [h=3] Mkurugenzi wa TAKUKURU,Bw.Edward Hosea
[/h]
TAASISI ya kupambana na kuzuia Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imemfikisha mahakamani mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mtaa wa Kihodombi katika Manispaa ya Iringa Aldo Kaduma (50)kwa tuhuma za kujifanya afisa wa taasisi hiyo na kuomba rushwa ya shilingi 400,000 kutoka kwa paroko wa Ihemi Iringa vijijini asifukuzwe nchini ndani ya masaa 24 kwa kosa la kumtetea mfanyakazi wake aliyemweka kinyumba mwanafunzi.
Mwanasheria wa Takukuru, Nitume Mizizi alisema leo mahakamani hapo kuwa Kaduma alikamatwa Septemba 28, 2009 baada ya taasisi hiyo kupokea taarifa kutoka kwa Padri Pio Callegari (72) kuhusu mtuhumiwa huyo kuomba rushwa hiyo ili kusaidia kuendelea kuwepo nchini kabla ya taasisi hiyo kuwekea mtego wa rushwa uliozaa matunda.INGIA HAPA KUSOMA ZAIDIhttp://francisgodwin.blogspot.com

[h=2][/h] [h=3] mkurugenzi wa takukuru,bw.edward hosea
[/h]
taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa nchini (takukuru) mkoa wa iringa imemfikisha mahakamani mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (ccm) mtaa wa kihodombi katika manispaa ya iringa aldo kaduma (50)kwa tuhuma za kujifanya afisa wa taasisi hiyo na kuomba rushwa ya shilingi 400,000 kutoka kwa paroko wa ihemi iringa vijijini asifukuzwe nchini ndani ya masaa 24 kwa kosa la kumtetea mfanyakazi wake aliyemweka kinyumba mwanafunzi.
Mwanasheria wa takukuru, nitume mizizi alisema leo mahakamani hapo kuwa kaduma alikamatwa septemba 28, 2009 baada ya taasisi hiyo kupokea taarifa kutoka kwa padri pio callegari (72) kuhusu mtuhumiwa huyo kuomba rushwa hiyo ili kusaidia kuendelea kuwepo nchini kabla ya taasisi hiyo kuwekea mtego wa rushwa uliozaa matunda.ingia hapa kusoma zaidihttp://francisgodwin.blogspot.com

tunataka kusikia hivi: Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa nchini imemfikisha mahakamani ndg rostam aziz,edward lowassa na andrew chenge kwa uhujumu uchumi!!! Sio kukimbizana na vijidagaa then mnaripoti..kichefu chefu!!
 
[h=2][/h] [h=3] Mkurugenzi wa TAKUKURU,Bw.Edward Hosea
[/h]
TAASISI ya kupambana na kuzuia Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imemfikisha mahakamani mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mtaa wa Kihodombi katika Manispaa ya Iringa Aldo Kaduma (50)kwa tuhuma za kujifanya afisa wa taasisi hiyo na kuomba rushwa ya shilingi 400,000 kutoka kwa paroko wa Ihemi Iringa vijijini asifukuzwe nchini ndani ya masaa 24 kwa kosa la kumtetea mfanyakazi wake aliyemweka kinyumba mwanafunzi.
Mwanasheria wa Takukuru, Nitume Mizizi alisema leo mahakamani hapo kuwa Kaduma alikamatwa Septemba 28, 2009 baada ya taasisi hiyo kupokea taarifa kutoka kwa Padri Pio Callegari (72) kuhusu mtuhumiwa huyo kuomba rushwa hiyo ili kusaidia kuendelea kuwepo nchini kabla ya taasisi hiyo kuwekea mtego wa rushwa uliozaa matunda.INGIA HAPA KUSOMA ZAIDIhttp://francisgodwin.blogspot.com

"Serikali ya wala rushwa kamwe hajishughulishi na rushwa kubwa kubwa bali inahangaika na wala rushwa wadogowadogo, machinga n.k." alisema Mzee mmoja wa busara. Ni sawa wamemkamata mwenyekiti wa mtaa, bado tunataka wawakamate (kikwelikweli na si kisanii kama ile ya kina Yona na Mramba) kina Rostam Aziz, Edward Lowassa, Andrew Chenge, Abdallah Kigoda, Nimrod Mkono, Ridhwan Kikwete, kina Vithlani, Mramba, Yona na woote waliotuingiza mkenge kwenye mikataba ya IPTL, Aggrecco, Richmond, Dowans, TICTS na mafisadi kibao waliosheheni mpaka ikulu. Siyo hii ya kujitosa baharini kumsaka dagaa mchele mmoja.
 
watapigiwa simu na mwenyekiti wao waachiwe si MAGAMBA hao ndugu moja na mafisadi na rushwa? haina majotrooo takukuru watakuwa washavuta mpunga wao kesho wanamsafishaaa
 
Kah!!!! sasa imekuwaje jamani kumkamata mwenyekiti wetu ?
Magamba Oyeeeeee!!!!!! Najua tutashinda tu .
 
Nimepigiwa simu na Katibu wa ccm katika wilaya moja ya mkoa wa Iringa , ikisema kuwa Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Iringa amekamatwa kwa Rushwa akiwa Iringa Mjini, anatuhumiwa kwa Tendo la Utoaji Rushwa.
Naendelea Kufuatilia , nitawajuza zaidi.

Thank you so much for this information. Lakini wanawaonea tu hawa dagaaa, wanawaacha mapapa na manyangumi KAGODA,DEEP GREEN na wengine wingi. Hawa Takakuru wako kisiasa zaidi.
 
Back
Top Bottom