Take Home 850,000 to 1,100,000; Please Advice

yupo ulaya huyu,anatupotezea muda,bongo hamna forumula,mshahara haufanania na matumizi.coming to think of hata mimi napoteza muda kujibu hii post :A S 20:
 
kwa take home ya 850,000 naweza kukushauri ufungue account maalum ya malengo.
kwanza kama hauna familia kila mwezi uwe unajiwekea akiba kama400,000. na inayobaki iwe matumizi yako yote upendayo. baada ya nusu mwaka utakua na kiasi cha kama 2,400,000. hizo uzitumie kununulia kiwanja vipo vya bei hiyo huko mbezi mwisho,kitunda au pugu.
baada ya kununua kiwanja unaweza chukua mkopo kama mil 12. gawa nusu,mil 6 jengea kibanda na 6 zinazobaki nunulia gari dogo,nalo uwe unalifanyia biashara na wewe unalitumia kwa dharula tu na week ends.
hicho kibanda cha milioni 6 labda nyumba ya udongo, mnacheza watu na maisha kujenga ni gharama sana, hiyo hela unayopata ndg mtoa hoja si ndogo kwa mtu aliye bachelor kwa kukushauri tu kama una nia ya kufanya investment basi jaribu kuraisisha mahitaji yako kwa kuishi nyumba ya bei ya chini na pia punguza sana matumizi yasiyo ya lazima kisha chagua biashara unayoipenda ambayo iwe ina returns nzuri kisha chukua mkopo uianze. Kiasi kitakachobaki ndicho ukipange jinsi ya kutumia na maisha yako ya kila siku

Kama kununua gari jaribu kuchukua gari ambayo ni economy kwenye mafuta na isizidi CC1200 kama Toyota Duet, Vitz, Starlet, Corolla, Nissan March n.k pia ukishanunua gari punguza safari zisizo na lazima unaweza kufika mbali
 
Unatafuta nyumba ya 150,000/= Kurasini utapata nice house. One bedroom, kitchen, lounge and bathroom ndani (Bachelors Quarter)

Hapo utasave nauli cz Posta mpaka kurasini unweza kurudi home on foot.

Nunua rice cooker, jioni unapika wali alafu asubuhi unamalizia kiporo.

Ukishiba wali asubuhi mchana unapiga dash mpaka jioni.

Usinywe bia, nunua cheapest phone available isizid 50,000 alafu weka vocha ya 500 per day na usipigie mtu mpaka iwe lazima.

Usitoe michango ya harusi more than 30,000 na huyo awe a close friend wengine wachunie.

Usinunue Gari mpaka after 2 years.

Tumia only a third of ur income save the remaining 2 thirds.

Achana na mambo ya wanawake wasubiri waje wenyewe when u have made it.

Simply unaweza ukanunua Bodaboda mbili in a year am sure zitarudisha more than 70,000 in a week.

Usinunue chakula fast food,
Brush ur shoes mwenyewe usipeleke kwa mafundi.
Usinunue magazeti na soda hovyo hovyo.

In life, learn to control ur expenses and not to seek for more money.
 
Hivi unaweza kujenga kibanda kwa Mi. 6?

Jamani maisha yamepanda na vifaa vya ujenzi vimepanda kwa asilimia zaidi ya 50, Misumari ilikuwa inauzwa Sh. 2000/- kwa Kilo sasa inauzwa Sh. 4000/-, Nondo zilizokuwa zinauzwa Sh. 23,000/- sasa zinauzwa Sh. 38,000/-

inawezekana,mimi nimefanya hivyo.
na kimeshapata mpangaji sasa ndo nafanya finishing
 
Unatafuta nyumba ya 150,000/= Kurasini utapata nice house. One bedroom, kitchen, lounge and bathroom ndani (Bachelors Quarter)

Hapo utasave nauli cz Posta mpaka kurasini unweza kurudi home on foot.

Nunua rice cooker, jioni unapika wali alafu asubuhi unamalizia kiporo.

Ukishiba wali asubuhi mchana unapiga dash mpaka jioni.

Usinywe bia, nunua cheapest phone available isizid 50,000 alafu weka vocha ya 500 per day na usipigie mtu mpaka iwe lazima.

Usitoe michango ya harusi more than 30,000 na huyo awe a close friend wengine wachunie.

Usinunue Gari mpaka after 2 years.

Tumia only a third of ur income save the remaining 2 thirds.

Achana na mambo ya wanawake wasubiri waje wenyewe when u have made it.

Simply unaweza ukanunua Bodaboda mbili in a year am sure zitarudisha more than 70,000 in a week.

Usinunue chakula fast food,
Brush ur shoes mwenyewe usipeleke kwa mafundi.
Usinunue magazeti na soda hovyo hovyo.

In life, learn to control ur expenses and not to seek for more money.

Du! Huo ni bonge la ushauri aisee.
Akiufuatisha baada ya miaka 3 atakuwa ni tajiri ila atakuwa anaugua vidonda vya tumbo pia.
 
Geat Thinkers,
Kwa mfanyakazi Bachelor, apatae Take home ya kati ya 850,000 mpaka 1,100,000/=
Unashauri aishi maisha ya aina gani ili aweza kuishi vizuri, na ku-save, ikiwezekana kufanya investment baada ya Muda.

1. Apange nyumba ya wastan wa Kodi kiasi gani?
2. Chakula ( ki makadirio) Monthly?
3. Gari aina gani?
4. A save kiasi gani Kwa mwezi?
5. Matumizi ya mwezi yanatakiwa kuwa asilimia ngapi ya kipato?

Swali liko general bt naamini we can have something to say.

Duh! mkuu (1)baa iwe kama mama mkwe kwako (2) wanawake iwe sumu piga nyeto tu na kuwa mtu wa ibada sana (3)nyumba kapange mbagala na private car kwako mwiko

All in all " life is what you choose to live " akili ni kichwani mwako adjust matumizi yako kulingana na malengo yako, huwezi pata jibu sahihi hapa
 
Back
Top Bottom