Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,805
- 173
Hakuna marupu2 kabisa ndugu.
Na umefanya kazi hapo kwa miaka mingapi ili walau tutazame labda ka-akiba ka NSSF,PSPF,PPF lakda katakusaidia.
Mh ila kwa mshahara wako huo...ni mchango kidogo saana hata hizo akiba haziwezi kukusaidia. Ni vema ukapokea mchango hapo juu wadau waliokushauri ya kwamba walau wife angeanza kwanza kufanya biashara na utazame maendeleo yake ili ama uongeze nguvu ama uipanue zaidi.
Kwa biashara ya duka...mh hapana!!