mafia mwana
Member
- Jun 19, 2016
- 14
- 2
Hapa bado kuna ishu ya risk kuoza matikiti ,kupasuka ,madalali kukushusha chini,tena maeneo ya Mbogwe changamoto kubwa ni fisi kushambulia matikit kwa hiyo utajiri ni shida tufanye tafit na sio kushawishi watu na kuwapa matazamio chanya na tuwe tayari tumeingia kwenye field husika