Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,603
1473602139586.png

Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli

~*Tajirika na Tikiti*~

Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli.....

*TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI*

Kwa wastani heka moja ya tikiti inakuwa na mashimo ya mbegu kuanzia 2000-3000 na kila shimo linaweza kuzalisha matunda 3-5 maana yake unaweza kupata matikiti 6,000-15,000 kwa heka.

Hii inamaanisha ukiuza tikiti moja kwa 1,500 unaweza kupata 9,000,000-22,500,000.

Basi tufanye uza tikiti moja sh 1,000 maanake utapata 6,000,000-15,000,000.

Kumbuka hii kitu ni ndani ya miezi 3.

Alafu kinachoumiza zaidi gharama ya uendeshaji ni chini ya 1,000,000 kwa heka moja.

*Ebu jamani tuache utani tujikite kwenye Kilimo maana Kilimo Kinalipa Sana.*

*Usiishie kusoma hizi namba kwenye maandishi ebu kafanye kwa vitendo ili utuletee majibu hapa.*
 
Hizo ni hesabu za karatasi kijana uliza hali halisi ya shambani ikoje na always usikurupuke kwa maandishi nenda kafanye survey mwenyewe! Niko ktk hii field ya kilimo kwa muda sasa ni kwli inalipa but huwez anza ikulipe hapohapo...mwanzon lazima ule hasara za kutosha
 
View attachment 398168
Mm sio mkulima ila nimevutiwa na hii dijui ni kwel

Mkuu mm nipo humo kwenye hicho kilimo...soko kwa sasa haliheleweki kila mtu kalima tikiti alafu hesabu hizo ni za mitandaoni ingia kwenye field utaona....usitie watu moyo alafu wakaingia kwa fujo mwishowe wakakata tamaa ya maisha
 
Nilitaka niwekeze kweny kilimo lakn naona nakata tamaa
 
View attachment 398168
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli

~*Tajirika na Tikiti*~

Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli.....

*TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI*

Kwa wastani heka moja ya tikiti inakuwa na mashimo ya mbegu kuanzia 2000-3000 na kila shimo linaweza kuzalisha matunda 3-5 maana yake unaweza kupata matikiti 6,000-15,000 kwa heka.
teh teh teh kwa hiyo Lowassa si tena raisi wa mioyo yenu???
Hii inamaanisha ukiuza tikiti moja kwa 1,500 unaweza kupata 9,000,000-22,500,000.

Basi tufanye uza tikiti moja sh 1,000 maanake utapata 6,000,000-15,000,000.

Kumbuka hii kitu ni ndani ya miezi 3.

Alafu kinachoumiza zaidi gharama ya uendeshaji ni chini ya 1,000,000 kwa heka moja.

*Ebu jamani tuache utani tujikite kwenye Kilimo maana Kilimo Kinalipa Sana.*

*Usiishie kusoma hizi namba kwenye maandishi ebu kafanye kwa vitendo ili utuletee majibu hapa.*
hizi hesabu mbona haizongeleagi mambo ya risk hata siku moja teh teh teh..Nimekuja kugundua wengi wanaondika hivi si wakulima
 
Mkuu ni kweli kabisa, unakuta mtu anapigiwa hadithi ya kwamba kilimo kinalipa ile mbaya na wala hajawahi kuingia hata shambani. Hajui chochote kuhusu shamba sasa anashushiwa mahesabu mazito kama hayo kisha na yeye anaishia kupost hapa jukwaani. Akiingia ndio hapo anajua uhondo wa ngoma. Kilimo kinalipa ila sio kwa mahesabu hayo ya kwenye mitandao, kwani kuna changamoto nyingi mpaka ufanikiwe.
 
Hizo ni hesabu za karatasi kijana uliza hali halisi ya shambani ikoje na always usikurupuke kwa maandishi nenda kafanye survey mwenyewe! Niko ktk hii field ya kilimo kwa muda sasa ni kwli inalipa but huwez anza ikulipe hapohapo...mwanzon lazima ule hasara za kutosha
Hawajui... Tikiti lipo very sensitive single mistake Then total loss
 
Sisi ndio wale wale ukiona jirani anauza sana maandazi na wewe kesho unaanza biashara ya maandazi badala ya kuuza chai ili wateja wanywe na maandazi.Hilo ndilo limejitokeza sasa hivi,kila mmoja analima tikiti unakuta sokoni matikiti meengi hakuna wa kumuuzia.In short tumekuwa sio wabunifu!
 
View attachment 398168
Mimi sio mkulima ila nimevutiwa na hii sijui ni kweli

~*Tajirika na Tikiti*~

Hii si Hamasa tena ni zaidi ya kweli.....

*TAJIRIKA UKIWA KIJANA ~ LIMA TIKITI*

Kwa wastani heka moja ya tikiti inakuwa na mashimo ya mbegu kuanzia 2000-3000 na kila shimo linaweza kuzalisha matunda 3-5 maana yake unaweza kupata matikiti 6,000-15,000 kwa heka.

Hii inamaanisha ukiuza tikiti moja kwa 1,500 unaweza kupata 9,000,000-22,500,000.

Basi tufanye uza tikiti moja sh 1,000 maanake utapata 6,000,000-15,000,000.

Kumbuka hii kitu ni ndani ya miezi 3.

Alafu kinachoumiza zaidi gharama ya uendeshaji ni chini ya 1,000,000 kwa heka moja.

*Ebu jamani tuache utani tujikite kwenye Kilimo maana Kilimo Kinalipa Sana.*

*Usiishie kusoma hizi namba kwenye maandishi ebu kafanye kwa vitendo ili utuletee majibu hapa.*
Hizi theories zenu muwe naweka na sentensi "Other things like soko linaendaje, usafiri, probability ya kuharbika, magonjwa etc kept constant", lasivyo katika uhalisia ni ngumu
 
Nn kilikupata mkuu akat Fuso imefurika vzur?

Mkuu tikiti ukikosea timing ya Soko lazima ulie kilugha. Wewe fikiria fuso zima, kila siku yananuliwa matikiti yasiyozidi 100. Baada ya siku tatu nikamkimbia dalali nikamwachia zigo. Zigo lilishaanza kuoza na hata hela ya Ushuru nisingeweza kumlipa.
 
Duh....sasa wakuu hebu niambie ni kilimo gani kizuri ninazo heka 10 maeneo ya MKATA njia panda ya handeni natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom