Taja ulivyowahi na usivyowahi kuvifanya maishani...

Nisivyowahi
1. I've never broken a bone
2. I've never been in relation of same sex-mkuu is this an achievement?(it seems to be in your mind!)

Nilivyowahi:-
1 I've climbed a (a ???)mount Kilimanjaro
2 I've shot a (a ???)gun (kuipiga bunduki au kupiga bunduki?)
3 I've used aan Apple product
4. I've been abroad
Comments as appropriate!
 
I NEVER STUDY IN AFRICA, ONCE I WAS NAUGHTY BOY (at school otherwise wanakuonea as me tu ndio nilikuwa black) I HAVE SHORT AND KILL MAJAMBAZI WAWILI AS WALITAKA KUNITEKA WANIPORE GARI LANGU. NILISHAWAHI KWENDA NCHI NYINGI NJE YA BARA LA AFRICA.
 
nilikuwa nshalala ila nkaamshwa na kipenzi C6 kukuza mtoto lolest. . .

Mhh!
Mnafaidije jamani?
Shem wako Rutta amesafiri basi na hili baridi,natamani hata nimwite Houseboy tulale wote.
 
Last edited by a moderator:
Nimewahi kuwakimbia polisi,nimewahi kuchapwa bakora na mama,baba kaka dada na walimu wangu,nimewahi kuwa wa kwanza darasani.
Sijawahi kuwa wa mwisho darasani,sijawahi kumuiba yule kuku mweusi wa jirani yetu,sijawahi kucheza bao na JKN
 
masikini babu Asprin ungejua sababu, n-way ngoja tu nkwambie. kuna mdada alikuwa ananiletea nyodo, c nikamfunza adabu mpk leo heshima ipo. cpendi kuonewa. kiukweli ngumi ipo karibu ukicheza nakupa za uso. ndo sababu ya kuwekwa lock up!

Pole..............! Ila ulikuwa mpole kama piriton, niliambiwa(usiniulize na nani)
 
Madame B mshahara wangu wa kwanza pamoja substainance allowance, ikawa kama milioni na ushee ivi nilichekeleaje siku iyo
C6@ umenikumbusha mbali nami kwa mara ya kwanza nilikuwa naenda safari kikazi nikapewa pesa inakaribia 3m jamani nilitetemeka mana ilikuwa cash hafu nikaambiwa hesabu kama ziko kamilina ilikuwa mara yangu ya kwanza kushika pesa kiasi hicho na ndo nilikuwa nimemaliza chuo tu.
 
*Sijawahi kuscore alama nyingine yeyote zaidi ya "F" ktk somo la Mathematics.

*Sijawahi kumtoa msichana bikra.
*Sijawahi kusafiri nje ya nchi.
*Sijawahi kuoa.

*Nimewahi kula rushwa
*Nimewahi kula m2ngo
 
Back
Top Bottom