Taja ulivyowahi na usivyowahi kuvifanya maishani...

masikini babu Asprin ungejua sababu, n-way ngoja tu nkwambie. kuna mdada alikuwa ananiletea nyodo, c nikamfunza adabu mpk leo heshima ipo. cpendi kuonewa. kiukweli ngumi ipo karibu ukicheza nakupa za uso. ndo sababu ya kuwekwa lock up!
Hahahahaha! Hukumtoa chongo? Manina zake! Piga hiyo makitu ipate adabu.
 
Nisivyowahi1. sijawahi kuwa na demu muislam...wooote wakristo2. sijawahi kuvuka mipaka ya nchi3. sijawahi kula 0713 wala ThreeSome4. sijawahi kunywa biaNilivyowahi:-1 nimesafiri mikoa yote Tanzania2 nimewahi kukamata zaidi ya milioni in cash (i mean za kwangu)3 nimemiliki smart devices like iPhone,
 
Nahisi ulikuwa ni Mkopo au za dili.
 
Madame B mshahara wangu wa kwanza pamoja substainance allowance, ikawa kama milioni na ushee ivi nilichekeleaje siku iyo
 
Last edited by a moderator:
Sababu?

Afu njoo hapa Port View. Kuna mishenzi imezaliwa kwa ajili ya kutengeneza supu tu basi!

Port View ya wapi wewe?
Hebu nielekeze niwashe mkebe wangu nije fasta.
C unajua mambo ya Hang-Over ya jana pale Kwe2?
 
Madame B mshahara wangu wa kwanza pamoja substainance allowance, ikawa kama milioni na ushee ivi nilichekeleaje siku iyo

Haya bhana.
Tukumbukane basi.
Au umesahau kama nilikuwa M/kiti wa kikao cha harusi yako na CL?
Fanya mambo mazee.
 
Last edited by a moderator:
Port View ya wapi wewe?
Hebu nielekeze niwashe mkebe wangu nije fasta.
C unajua mambo ya Hang-Over ya jana pale Kwe2?
Port view ya hapa round about ya BP. Maeneo ya Relwe Gerezani bana.
 
Madame B kheeeeeeeeeeee? Kumbe unataka now? C unajua mamaa charminglady ndo ana funguo zangu za safe labda umwambie yeye
 
Last edited by a moderator:
Nimewahi mfumania my swthrt na mwanamke mwingine,
Nimewahi kumpiga mwanaume rijali kabisa,
Nimewahi lala lock up,
Nimewahi do a girl(s)
Sijawahi fanya three some
 
Nisivyowahi
1. I've never broken a bone
2. I've never been in relation of same sex

Nilivyowahi:-
1 I've climbed a mount Kilimanjaro
2 I've shot a gun
3 I've used an Apple product
4. I've been abroad

Boflo nimewahi kuandika bango kubwa na kulibandika kwenye geti la kuingilia shule 'SHULE IMEUZWA HAMNA MASOMO' kisa, sikufanya home work. Wanafunzi wengi hawakuingia darasani wakarudi nyumbani.

Sijawahi kufeli mitihani na wala sijawahi ku graduate
 
kumbe wewe lesbian...
tujaribu bac threesome... Bujibuji ataunga timu
 
Last edited by a moderator:
kumbe wewe lesbian...
tujaribu bac threesome... Bujibuji ataunga timu

Mi nina uzoefu wa threesome.
Nisha piga mademu wawili at per, pia mi na mshikaji wangu Gilbiz tulikuwa na kademu ketu hako officially kanataka tukabandue mmoja mbele mwingine uani. Evedada I miss u
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom