Taja ulivyowahi na usivyowahi kuvifanya maishani...

Nisivyowahi
1. I've never broken a bone
2. I've never been in relation of same sex

Nilivyowahi:-
1 I've climbed a mount Kilimanjaro
2 I've shot a gun
3 I've used an Apple product
4. I've been abroad

Boflo,Hapo kwenye Blue,
Na Kileleni Ulifika kabisa au Uliishia Katikati?
Ila ni Lazima kuwe na Muongozaji wa kukuelekeza.
 
Last edited by a moderator:
Boflo,Hapo kwenye Blue,
Na Kileleni Ulifika kabisa au Uliishia Katikati?
Ila ni Lazima kuwe na Muongozaji wa kukuelekeza.

Nilifika kileleni uhuru peak, sure tulipewa guide, na certificate nnayo.....3 day up 2 days down down siwezi sahau kabisa experience niliyopata mwaya
 
1.sijawahi kulala uchi.
2.sijawahi kuingia uwanja wa taifa.
3.sijawahi kuvaa nguo yenye chata lolote la chama cha siasa

1.nimewahi kuvuta bangi
2.nimewahi kulewa nikapoteza network
3.nimewahi kufikisha 180km/hr kwenye barabara ya kitanzania
4.nimewahi kukesha
5.nimewahi kutembea toka uwanja wa 77 hadi mbezi shamba,kisa nilikula nauli
 
Nilifika kileleni uhuru peak, sure tulipewa guide, na certificate nnayo.....3 day up 2 days down down siwezi sahau kabisa experience niliyopata mwaya

Nakuonea gere mwaya,
me huwa naishiaga katikati,
Pumzi zinakataga ghafla,c unajua Kikubwa pumzi?
Ila natamani siku moja nifike kileleni.
 
Sijawahi kupigana na mwanaume
Sijawahi kupata ajali ya gari (Mungu ashukuriwe maana na hivi navokunywa pombe huku naendesha)
Sijawahi kuona watu waki have sex nishawahi kusikia sauti tu kwa mbali :biggrin1:
 
nshawahi kulala lock up, duh ctasahau maishani. n.b. sitaki swali juu ya hili

Ndo ukome kutembea na waume za watu. Na ile tabia yako ya kuiba glasi za bar na shuka za gesht haushi zitakurudisha tena lupango usipojirekebisha
 
1.sijawahi kulala uchi.
2.sijawahi kuingia uwanja wa taifa.
3.sijawahi kuvaa nguo yenye chata lolote la chama cha siasa

1.nimewahi kuvuta bangi
2.nimewahi kulewa nikapoteza network
3.nimewahi kufikisha 180km/hr kwenye barabara ya kitanzania
4.nimewahi kukesha
5.nimewahi kutembea toka uwanja wa 77 hadi mbezi shamba,kisa nilikula nauli

hahahahaah!! Hiyo namba 5 nami imewahi nitokea ila mimi nauli iliibiwa. Nilikanyaga toka posta mpaka kibamba!
 
nshawahi kulala lock up, duh ctasahau maishani. n.b. sitaki swali juu ya hili

cacico umenikumbusha mbali sana uliposema maswala ya Lock-up,
Hebu pata picha unawekwa lock up ugenini mwezi mzima,hakuna anaekujua,
Utafanyaje?
 
Last edited by a moderator:
Ndo ukome kutembea na waume za watu. Na ile tabia yako ya kuiba glasi za bar na shuka za gesht haushi zitakurudisha tena lupango usipojirekebisha

masikini babu Asprin ungejua sababu, n-way ngoja tu nkwambie. kuna mdada alikuwa ananiletea nyodo, c nikamfunza adabu mpk leo heshima ipo. cpendi kuonewa. kiukweli ngumi ipo karibu ukicheza nakupa za uso. ndo sababu ya kuwekwa lock up!
 
Last edited by a moderator:
cacico umenikumbusha mbali sana uliposema maswala ya Lock-up,
Hebu pata picha unawekwa lock up ugenini mwezi mzima,hakuna anaekujua,
Utafanyaje?

Madame B, kwanza naomba nikusahihishe co cacico ni mie hapa. n-way cku hz kuna mawasiliano ya simu walau nitawasiliana na ndugu,jamaa na marafk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom