Taja members ambao hawajaonekana Online kwa muda mrefu sana??


ndugu Eiyer, salama?dah sijui umesema kweli!?ila siku izi nlikuwa bize kidogo na majukumu ya kujenga nchi ndo mana nkapotea kidogo, bt huwa nahakikisha napitia jamvini asubuhi na kabla ya kulala kwa kuwa najua wanajamii wanayo mapya. Nitarudi kiukamilifu ba ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom