The Planner
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 357
- 118
19. abolish death penalty.....
20. legalize marijuana
21. .....
20?????
19. abolish death penalty.....
20. legalize marijuana
21. .....
sasa PAYE si ndio hiyo income tax watumishi wanayokatwa? mbona hueleweki mjomba?Pay as you earn na income tax,kifupi mshahara wao upo full haukatwi kitu
hell to the no!.. basi afadhali hawa wanatumia loophole ya informal earners kuliko licensed and registered business taycoons whom intentionally evade tax ..... uliowataja wanahitaji elimu kidogo tu na serikali kuwa makini
hawa wengine hawalipi period!
hawa own magari, nothing
consumptions zao ni informal, pombe haramu na vyakula vya Mama Ntilie ambavyo havilipiwi kodi.
bora kina Rostam wakwepe kodi lakini unajua kabisa li VODACOM lake haliwezi kukwepa kodi yote kabisa
wanaobeba zigo la kodi hapa ni wa formal sector ambao ni tiny minority, ndo mana kodi iko juu
NDO MAANA MWINGEREZA ALIWEKA KODI YA KICHWA, IRUDISHWE, hatutaki ujinga kabisa
Wana jf hebu tuanze kuijadili katiba iliyopo kama kweli tunaijua. Maana wengi wanasema tu katiba mpya wakati hata iliyopo hawajui. Katiba ya marekani imetungwa 1786 na zimefanyika amendment 26 tu ya mwisho ilikuwa 1992. Je katiba yetu inamapungufu yapi mpaka tuifanyie overwhole. Katiba ikibadishwa yote na sheria lazima zibadilike so sio jambo just over night. Let us see if we really know our katiba.
wakuu napendekeza tutotautishe vitu vifuatavyo kama kweli tunataka kuanisha mapungufu:
1) Katiba
2) Sera
3) Sheria
4) Kanuni (sheria ndogo zinazotengenezwa kutokana na sheria mama)
bila kuelewa vyema nini kimo katika mambo hayo manne basi tutashindwa kubainisha kasoro za katiba.. hapa naona baadhi ya wachangiaji wanasema vitu ambavyo vipo katika level ya sera, sheria na kanuni!!
fuata linki hii hapa upate nakala ya katiba uipitie then urudi hapa kuchangia www.tanzania.go.tz/images/katibamuungano.pdf
aidha nashauri tusome tena thread hii https://www.jamiiforums.com/katiba-...ania-ilivyo-na-mapendekezo-ya-mabadiliko.html
1. Rais apunguziwe madaraka ili baadhi anaowateua wathibitidhwe na Bunge!
2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iwe huru, ie cmposition ya wajumbe wa tume ijumuishe pia wapinzani.
3. Tanzania sio tena nchi ya Ujamaa na Kujitegemea kwa kuwa njia kuu za uchumi zote haziko mikononi mwa Serikali. Kwahiyo Katiba ifanyiwe marekebisho kuondoa kipengele hicho!
4. Katiba ifanyiwe marekebisho iendane na Katiba ya Zanzibar, km kuondoa cheo cha uwaziri kiongozi!
5. Viti maalum vya ubunge na udiwani viondolewe, havina kazi yoyote.
6. Rais asiwe na mamlaka ya kuteua Wabunge, kwa kuwa hao wabunge hawawakilishi chochote.
7. Matokeo ya urais yawe challenged mahakamani, kwa hiyo kile kipengele kwamba Tume ikishatangaza matokeo basi hakuna mahakama yoyote yenye uwezo wa kuyachunguza kiondolewe!
8. Rais asiwe na uwezo wa kubadili Wizara mara kwa mara, idadi ya wizara ziwekwe kwenye Katiba na kama ataona kuna haja ya kuziongeza Bunge liridhie. Hii itapunguza Rais kubadili Wizara kila mara, kwa kutaka kuwapatia maswahiba wake vyeo! Pia Wizara ziwe chache ili kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali.
9. Wakuu wa Mikoa na Wilaya hawana kazi waondolewe na badala yake wabaki Wakurufenzi watendaji wa Majiji, Miji, Manispaa na Wilaya!
10. Muundo wa Muungano uwe wa Serikali tatu!
11. Kuwe na equal distribution ya resources badala ya kuconcetrate tu kujenga Dar es Salaam na baadhi ya mikoa. Kwa hiyo iwekwe mechanism kwenye Katiba, eg Swrikali za Majimbo zenye baadhi ya mamlaka juu ya resouces zilizopo maeneo yao.
13. Mgombea binafsi aruhusiwe Kikatiba!
14...
Pay as you earn na income tax,kifupi mshahara wao upo full haukatwi kitu
Katika harakati ya kuweka sawa mtiririko mzuri wa michango wa wana Member.
by Buchanan
1.Rais apunguziwe madaraka ili baadhi anaowateua wathibitidhwe na Bunge!
2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iwe huru, ie cmposition ya wajumbe wa tume ijumuishe pia wapinzani.
3. Tanzania sio tena nchi ya Ujamaa na Kujitegemea kwa kuwa njia kuu za uchumi zote haziko mikononi mwa Serikali. Kwahiyo Katiba ifanyiwe marekebisho kuondoa kipengele hicho!
4. Katiba ifanyiwe marekebisho iendane na Katiba ya Zanzibar, km kuondoa cheo cha uwaziri kiongozi!
5. Viti maalum vya ubunge na udiwani viondolewe, havina kazi yoyote.
6. Rais asiwe na mamlaka ya kuteua Wabunge, kwa kuwa hao wabunge hawawakilishi chochote.
7. Matokeo ya urais yawe challenged mahakamani, kwa hiyo kile kipengele kwamba Tume ikishatangaza matokeo basi hakuna mahakama yoyote yenye uwezo wa kuyachunguza kiondolewe!
8. Rais asiwe na uwezo wa kubadili Wizara mara kwa mara, idadi ya wizara ziwekwe kwenye Katiba na kama ataona kuna haja ya kuziongeza Bunge liridhie. Hii itapunguza Rais kubadili Wizara kila mara, kwa kutaka kuwapatia maswahiba wake vyeo! Pia Wizara ziwe chache ili kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali.
9. Wakuu wa Mikoa na Wilaya hawana kazi waondolewe na badala yake wabaki Wakurufenzi watendaji wa Majiji, Miji, Manispaa na Wilaya!
10. Muundo wa Muungano uwe wa Serikali tatu!
11. Kuwe na equal distribution ya resources badala ya kuconcetrate tu kujenga Dar es Salaam na baadhi ya mikoa. Kwa hiyo iwekwe mechanism kwenye Katiba, eg Swrikali za Majimbo zenye baadhi ya mamlaka juu ya resouces zilizopo maeneo yao.
13. Mgombea binafsi aruhusiwe Kikatiba!
By Tasia I
14.Isiwe lazima kwa waziri kua mbunge.
15. Isiwe lazima kua waziri lazima atoke chama kinachokua madarakani manake hii inawanyima wanbunge wa upinzani fursa ya uwaziri hata kama wangekua wanauwezo wa kutoa huduma kwa ufanisi sana na kuwapa wale wa chama tawala hata kama hawana uwezo wakiutendaji. Ndo sababu tunasema wathibitishwe na bunge.
16. Katiba iweke mandate ya kuweza kuwa evaluate wabunge, wakuu wa mikoa na wilaya periodically.Sio jitu linakaatu madarakani miaka ishirini na halijafanya chochote na hakuna wakuliuliza.
17.Iweke wazi kikomo cha ubunge na ipaunguze muda wa ku staaf kisheria (62) ya sasa ni ming inasababisha ukosef wa ajira.
By Madcheda
18. Ikija kwenye suala la kulipa kodi wote tuwe sawa, sio kwamba kodi inalipwa na sisi watu wa chini (pangu pakavu) ila mawaziri, wabunge, makamu na rais mwenyewe hawalipi kodi yoyote ktk mapato yao ya mshahara na allowance. Me nazan sbb hawalipi kodi ndo maana wanatoa sana misamaha ya kodi kijinga jinga
By Lat
19. abolish death penalty.....
20. legalize marijuana
21. empowerment ya natives especially on natural resources..... iwekwe wazi na katiba kma sheria mama ya resources zetu na uwezeshwaji na siyo visheria vinavyotungwa tungwa tu na kina ngeleja na kubadilishwa pale kina barrick and anglo wakilalamika
22. sheria zinazounda state organs zibadilishwe na polisi isiwe jeshi bali iwe ni taasisi ya kutoa huduma za usalama na ulinzi wa raia... mfano badala ya kuwa Tanzania Police Force iwe Tanzania Police Service... South Africa wana SAPS na its one of the best policing organs in the world...policing does not mean using force... using force will be the last resort like ...if the pain persist see a medical doctor
My. Take
Itakuwa vizuri zaidi michango ikazingatia na kufanya nukuu ya kipengele husika cha katiba ili wachangiajia na wasomaji wengine kuelewa zaidi nini kinajadiliwa kuliko kuchanganya hoja mbalimbali.
your comments tend to be, OR your comment tends to be. Hakuna comments tends.....your comments tends to be
tend to be malicious OR to tend to be maliciously written. Hakuna tend to be maliciouslytend to be maliciously and dubious
mafuta yanakuwa imported, yataachaje kuwa na kodi wewe?.....mafuta hayana VAT mkuu...
your comments tend to be, OR your comment tends to be. Hakuna comments tends
tend to be malicious OR to tend to be maliciously written. Hakuna tend to be maliciously
mafuta yanakuwa imported, yataachaje kuwa na kodi wewe?
Unailipa kodi ya mafuta juu kwa juu, sio lazima iwe imeandikwa lita 1400/= + tax 300/=
Serekali na chama kinachotawala vinafunction kama institution moja hii ni kutokana na katiba kutungwa enzi za cha chama kimoja...hili ni moja ya tatizo la katiba hii ya sasa....