Taja majimbo ambayo uchaguzi ukifanyika leo CHADEMA itashinda.

Suala siyo kufanyika tu, sema ukifanyika ukiwa huru na haki na utashi wa wapiga kura ukizingatiwa!!!!!

Ni kweli Gene, Uchaguzi huru utahitajika; Ila km bado, hawautaki Uchaguzi Huru, Vijana wanamnchi wanamapinduzi, wkisimamam kidete, tangu kura imepigwa mpaka karatasi la Matokeo, Majimbo mengi yatakombolewa. Mfn, Majimbo ya Mwanza(Ilemela na Nyamagana) ; Arusha(Arumeru) nk yalipatikana kwa staili hiyo. Baba akiwa mkorofi, usitegemee mtoto atakubali kila sku kupigwa km zezeta, he/she 'll respond to overcome the humiliation.................
 
Kama hawataiba kura CCM hii dola iko mikononi mwa CHADEMA. Dola iliypo haina ridhaa ya wote (uchakachuaji wa kura) tume legelege ya uchaguzi

Siwapendi CCM. Lakini kama kwa miaka mitano yaani 2010-2015 CHADEMA haijaweza kupata ufumbuzi wa tatizo hili kana kwamba CCM ndio maprofessa wa uchakachuaji hapa duniani halafu wakashinda tena hapo 2015, basi itabidi niwakubali CCM na niwaone CHADEMA ni wazembe.

Huwezi kuimba wimbo wa tatizo moja milele bila kujikita na utafiti wa kuliondoa tatizo hili.
 
Uhuni aliofanyiwa ulimboka unaweza kusababisha hata zenji chadema wakashinda
 
jimbo la ubongo litakwenda kwa CCM, kawe kwa CCM.,hai kwa ccm.songea mjini kwa ccm.,iringa mjini KWA CCM,nyamagana ccm, iramba magharibi CCM. kuna watu ambao hata iweje CCM haiwataki warudi bungeni,LIWALO NA LIWE METHOD ITATUMIKA
1.JOHN MYIKA. 2.HALIMA MDEE.3.PETER MSIGWA.4.EZEKIA WENJE.5.TUNDU LISSU.6.SUGU.
 
Hakuna jimbo lolote ambalo Chadema atachukua.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Temeke, Kigamboni, Njombe kusini kwa Makinda, Ludewa, Kyela kwa Mwakyembe, Kilosa, Dodoma mjini, Mtera kwa Kibajaji! na Kule kwa Mchemba!!!!!!!!!!!!!
 
Same mash.,Iramba magh.,na Bukoba(m).Tena hari ya same mbaya vijiji kama vuje,ntenga,kighare,giriama,bombo,mtii,maore na vunda.
 
Back
Top Bottom