taja elimu yako........

Ha ha ha..... Mr Rocky we muoga kumbe

We sweetlady unachezea kung'olewa meno na kucha bila ganzi aise
hiyo ngumu kumeza

Hahahaha hapa utampata Mr Rocky tu manake ndie anaendaga baa usiku
sweetlady tutakuwa na The Finest maana leo ameniambia ana ofa zangu za castle lite eti akanitambulishe kwa wachungaji wa kanisa lake jipya
Ila shangaa kikao hicho kinafanyika bar

Ha ha ha ha... chezeiya kung'olewa kucha na meno kwa koleo wewe
The Finest usisahau ofa zangu za mbuzi katoliki na castle lite na unitambulishe kwa wale wachungaji wa kanisa lako
 
Last edited by a moderator:
We sweetlady unachezea kung'olewa meno na kucha bila ganzi aise
hiyo ngumu kumeza

sweetlady tutakuwa na The Finest maana leo ameniambia ana ofa zangu za castle lite eti akanitambulishe kwa wachungaji wa kanisa lake jipya
Ila shangaa kikao hicho kinafanyika bar

The Finest usisahau ofa zangu za mbuzi katoliki na castle lite na unitambulishe kwa wale wachungaji wa kanisa lako

Mchungaji kikao kinafanyika baa lol.....hivi The Finest hajaacha tu haya mambo yake?
 
Last edited by a moderator:
nina doctorate ya sosholojia kutoka Cambridge na kwa sasa nasimamia wanafunzi wa PhD hapa UDSM
 
Last edited by a moderator:
Duh Bishanga mbona umebadili Elimu yangu ukaifanya yako?
Hapa niko nahangaikia PhE then niendelee na PhF coz PhD ninazo za kutosha.
Pia naifahamu elimu ya Mr Rocky yeye ana PhD ya Majungu, Preta na BADILI TABIA wana PhD za kuchukua wanaume wengi kwa mara moja, Filipo ni Std 4 alifeli mtihani wa kuingia la 5, Hata C6 pia ni Std 4 ila mkewe charminglady sijajua ana elimu gani

haahahahaaaaaaaaa mbavu sina.....

Ujue mie ni daktari.....daktari wa mapenzi.... Sasa nitakuaje na mwanaume mmoja?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom