Taifa stars

Chamutati

New Member
May 25, 2012
1
0
Kama makocha tumebadilisha na bado timu inayumba inamaanisha tatizo lipo sehemu nyingine kwenye hii timu. Na mimi binafsi nadhani na uongozi, sidhani kama kuna separation of power naona subjectivity ndo inayosababisha timu yetu ifanye vibaya. Yani decision zinafanywa kwa interests za wachache. Mimi ni mzalendo lakini kwa taifa stars kuna kipindi mtanisamehe maana wanaoiongoza hawatangulizi uzalendo.
 
Back
Top Bottom