Taifa stars vs Mozambique.

Mpira unachezwa katika jiji liitwalo Matola na uwanja wenyewe unaitwa Machava. Capacity ya Uwanja ni 45,000 peoples.............(msije mkamalizia ki - cdm jamanii....)
 
3767.jpg


Uwanja wenyewe huu hapa. Huu ndo machava stadium
 
Tuipe ushirikiano jaman..! Ni yetu tu hata ikiwa mbovu.. Ila kwa kikos kilichopangwa na wachezaji wa akiba naamin tutafanya maajabu...
 
3767.jpg


Uwanja wenyewe huu hapa. Huu ndo machava stadium

Ni uwanja mpya ambao ulizinduliwa kwa mechi ya kirafiki na timu hizi zinazocheza leo, Stars ilifungwa kwa taaabu goli 1. Leo sijui itakuwaje, maana hawa the mambas wana mpira wa kasi sana.
 
Back
Top Bottom