bemg
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 2,799
- 642
Mechi ya kirafiki kati ya Tanzania(Taifa stars) na Botswana iliyochezwa leo usiku jijini Gaborone imeisha kwa sare ya mabao 3 kwa 3. kila timu ilifunga magoli mawili kipindi cha kwanza.kipindi cha pili kila timu ilifunga goli moja na kufanya mpira kuisha kwa jumla ya magoli 3 kwa Tanzania na 3 Kwa Botswana