Taifa la mitumba?????

ABEDNEGO

Senior Member
Aug 20, 2009
109
30
Ndugu zangu hali ya maisha ya mtanzania yanatisha,Kila mahali mitumba ,kila kitu mitumba BALAAAA KUBWA HILI !!!Taifa linaangamia kwa mitumba magonjwa mbali mbali ndani ya mitumba saratani ya ngozi na mengineyo.Lakini kwanini tuwe Taifa la mitumba???
 
remember we have special for africa products which brought to us on the basis calculated on our willingness and ability to pay for the same kind of product sold in europe.........this is a special dust bin for their products and we normally don't get the real original ones but those recycled ones(re-produced products)....this is because we don't honor our own products and our leaders are always competing to visit europe and america................''THE WORLD IS NOT FAIR''
 
Ndugu zangu hali ya maisha ya mtanzania yanatisha,Kila mahali mitumba ,kila kitu mitumba BALAAAA KUBWA HILI !!!Taifa linaangamia kwa mitumba magonjwa mbali mbali ndani ya mitumba saratani ya ngozi na mengineyo.Lakini kwanini tuwe Taifa la mitumba???

Ndugu kuna jamaa mmoja anajiita IDD BAKA PANDISHA....mwe mwee mwee ile sasa si mitumba, natafuta jina la kuiita.

jamaa tingatinga kweli hata hachagui, yale madude na umaskini wetu hayauziki wala kununlika ni machakavu...i bet hata kwa ile biashara 'haramu' ya scrapers itakua ngumu.

namchukia ile mbaya kila wakati nikipita karibu na huo uozo natamani niwe alqaeda nilipuke nao yaaaaaaaaaaaaaaaak!
 
Ndugu zangu hali ya maisha ya mtanzania yanatisha,Kila mahali mitumba ,kila kitu mitumba BALAAAA KUBWA HILI !!!Taifa linaangamia kwa mitumba magonjwa mbali mbali ndani ya mitumba saratani ya ngozi na mengineyo.Lakini kwanini tuwe Taifa la mitumba???

Jamani, tangu lini saratani ikaambukiza??
Get real. Pia zile nguo za mitumba huwa zinapuliziwa dawa ndio maana mitumba huwa na harufu ya kufanana. Magonjwa ambayo yanaweza kuambukizwa kama hazijatiliwa dawa huwa ni magonjwa ya kuambukiza kama:

1. Chawa
2. Spore-borne fungal diseases (nimekosa namna ya kutafsiri, kuna aina nyingi za fangasi)

Ila siyo saratani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom