kadeco Member Oct 14, 2012 17 3 Oct 15, 2012 #2 Ok, ushauri wako nini sasa au ndo umeweka hapo tuone basi!
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Oct 15, 2012 #3 kadeco said: Ok, ushauri wako nini sasa au ndo umeweka hapo tuone basi! Click to expand... Wewe ndo toa ushauri, ndo maana kaiweka hapa
kadeco said: Ok, ushauri wako nini sasa au ndo umeweka hapo tuone basi! Click to expand... Wewe ndo toa ushauri, ndo maana kaiweka hapa
Autorun JF-Expert Member Mar 21, 2008 557 116 Oct 15, 2012 #4 waache wajifunze polepole ili wakiwa wakubwa wasiwe malimbukeni wa mambo hayo kama mlivyo nyie sasa hivi
waache wajifunze polepole ili wakiwa wakubwa wasiwe malimbukeni wa mambo hayo kama mlivyo nyie sasa hivi
Mwanahisa JF-Expert Member Jun 29, 2012 1,382 510 Oct 15, 2012 #5 Taifa la kesho, ila wanachangia kodi ya Taifa la leo.!
PakaJimmy JF-Expert Member Apr 29, 2009 16,203 8,724 Oct 15, 2012 #6 Hizo c ni juis tu? au simu yangu tecno inazingua! Ningeona concern kama vingekuwa vileo.
tatanyengo JF-Expert Member Mar 30, 2011 1,134 280 Oct 15, 2012 #7 kadeco said: Ok, ushauri wako nini sasa au ndo umeweka hapo tuone basi! Click to expand... Kesi ya Doroth iko mahakamani, usitumie picha yake kama Avatar
kadeco said: Ok, ushauri wako nini sasa au ndo umeweka hapo tuone basi! Click to expand... Kesi ya Doroth iko mahakamani, usitumie picha yake kama Avatar
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Oct 16, 2012 #8 ukumbuke wapo kitandani hapo wakishalewa ni kula tunda la katikati tu hapo chezea pombe weye.