Taifa cup basketball-tbf- ni wizi au hamkujiandaaaaa- tannga

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

habari mpaka tulizo zipata kutoka tanga ambako mashindano ya Taifa Cup Basketball yaliyoanza leo jioni huko Tanga yame reta taflani kubwa tuuu, na mmoja katika yote ni kutokuwa na malazi ya wachezaji walio toka mikoani wamerundikwa sehemu mmoja ka UMISETA chakula mpaka sasa team nyingi zajitegemea pesa za kujikimu ambazo zilihaidiwa tolewa na chama cha kikapu nchini hakija timiza ahadi yake na kumekuwa na TETESI kuwa Mbeya na Dar ndio wamepewa pesa za kujikimu.

Huuu utapeli wa Chama cha kikapu tanzania utashi lini kila mara kwenye mashindano kumekuwa na utapeli wa maandalizi na utendaji wake una kuwa ni mbovu hivi kwa hali hii michezo itakuwa kweli?????

Kweli wachezani wana pewa chakula kwa kupanga foleni kama wako shule za bweni au umiseta? hii ni aibua.

TFF juzi ilikataaa kutangazwa kwa mpira kisa wazamini wanatoa pesa na TFF haifaidiki na hili ndilo liko huko TBF kuna wadhamini Sprite, Tigo, Vodacom,AirTel na TBC1 hawa wote wataka kuniambi hawajadhamini michezo hiiii? na kukatoka tangazo la kuwa watarusha mashindano live kupitia tovuti ya Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) then unachagua pale kwa basketball taifa cup then inakuambia ununue kwa kupitia mitandao yetu na upate PIN ili uweze kuona basketball live toka tanga yet hiyo 500 ni michango ya kudhamini pia ila mwawalaza wachezaji mahali pa hovyo hovyo.

My Take;
Vyama vya michezo tuache kuwa wezi na matapeli hatutakuza michezo ndani ya nchi kabisaaa
 
Back
Top Bottom