Tahadharini watumiaji wa ATM card leo

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
leo nimefika ktk ATM ya AZANIA MASDO HOUSE - Samora Avenue na kutka kutoa Pesa. kwa bahati baada ya kuingiza data zangu na kutaka kutoa pesa system ilikataa kutoa.
lkn tayari system hiyo imeonyesha pesa nilizotaka nimezipata. kwa ufupi zimepungua kwenye A/C yangu huku pesa hazikotuka.

TAHADHIRI NDUGU
Kinachotokea kwamba baadhi ya user baada ya kufanya transaction na kukusa kutoa fedha hizo hawaangalii A/C yao. kumbe hata kama pesa hazitoki lkn mkato kama kawaida na a/c yako imepungua

inaonesha hata system za bank nyengine leo ndio hivi hivi

leo nimefika ktk ATM ya AZANIA MASDO HOUSE - Samora Avenue na kutka kutoa Pesa. kwa bahati baada ya kuingiza data zangu na kutaka kutoa pesa system ilikataa kutoa.lkn tayari system hiyo imeonyesha pesa nilizotaka nimezipata. kwa ufupi zimepungua kwenye A/C yangu huku pesa hazikotuka.Kinachotokea kwamba baadhi ya user baada ya kufanya transaction na kukusa kutoa fedha hizo hawaangalii A/C yao. kumbe hata kama pesa hazitoki lkn mkato kama kawaida.inaonesha hata system za bank nyengine leo ndio hivi hivi
Kila mwisho wa mwezi hilo ni jambo la kawaida,
 
leo nimefika ktk ATM ya AZANIA MASDO HOUSE - Samora Avenue na kutka kutoa Pesa. kwa bahati baada ya kuingiza data zangu na kutaka kutoa pesa system ilikataa kutoa.
lkn tayari system hiyo imeonyesha pesa nilizotaka nimezipata. kwa ufupi zimepungua kwenye A/C yangu huku pesa hazikotuka.

Kinachotokea kwamba baadhi ya user baada ya kufanya transaction na kukusa kutoa fedha hizo hawaangalii A/C yao. kumbe hata kama pesa hazitoki lkn mkato kama kawaida.

inaonesha hata system za bank nyengine leo ndio hivi hivi
a

Angalia tena salio baada ya masaa kadhaa utakuta hiyo balance imerudi kama kawaida,imewahi kunitokea watu wa benki waka ni assure kuwa hazitopotea na kweli nilipoangalia salio kesho yake zikawa zimerudi.
 
leo nimefika ktk ATM ya AZANIA MASDO HOUSE - Samora Avenue na kutka kutoa Pesa. kwa bahati baada ya kuingiza data zangu na kutaka kutoa pesa system ilikataa kutoa.
lkn tayari system hiyo imeonyesha pesa nilizotaka nimezipata. kwa ufupi zimepungua kwenye A/C yangu huku pesa hazikotuka.

TAHADHIRI NDUGU
Kinachotokea kwamba baadhi ya user baada ya kufanya transaction na kukusa kutoa fedha hizo hawaangalii A/C yao. kumbe hata kama pesa hazitoki lkn mkato kama kawaida na a/c yako imepungua

inaonesha hata system za bank nyengine leo ndio hivi hivi

unafikiri mema ya nchi mpaka ufe wanaanza hapa hapa duniani mpwa pole zitarudi pole pole
 
Back
Top Bottom