Tahadharini na maneno ...........

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Kwamba utafiti umefanyika kunako vyombo vya usafiri wa uma.
Aidha ikagundulika maneno kadhaa yatumikayo kunako daladala hayajakaa njema, baadhi yake machache ni kama haya ;-
> Atakupa mbele!
> Hujapewa mbele?
> Utapewa nyuma!
> Nitakupa nikikaa vizuri !
>Ngoja isimame nikupe!
> Subiri asimamishe nikupe .
> Nyuma hujapewa?
> Hivi nilivyokaa nitakupaje?
> We tulia usinipelekeshe utapewa/ntakupa > We vipi ? Nikupe mara ngapi ?
> Nimeshampa huku mbele, huko nyuma msimpe!
> We si nimekwambia hapo mbele simamisha!,
- Huyu mwingine alipanda bus akiwa na gunia lake la mkaa uliowekwa juu ya keria, alipofika kituoni kwake akasikika "dereva simamisha na nina Mkaa juu ! " dereva akauliza "unasemaje?"
na upepo ukachafuka.
 
Mengi ktk hayo hutokea kwenye bus! Hahahahaaa sikiliza na haya, 'samahani brother ulikalia big g sogea nikubandue!' mwingine alimwaga maji kupitia dirishani, tahamaki!! 'haiyaaa!! Samahani kaka nimekumwagia?' akajibu 'hapana' 'nimekulowesha?' jamaa akajibu tena 'hapana' akauliza tena kwa mshangao 'nimekuchafua? Kwa upole zaidi 'hujanifanya chochote ndugu, endelea na kazi zako!' huku akikamua shati lake sehemu iliyolowana!
 
2mbo linaniuma na wala sihitaj kuumia kwa kucheka asanten kwa kunifanya bandama langu kucheza
 
Hahaaaaaaaa mwingine alimwambia konda nishashuka! Konda akamwambia shuka yenyewe rangi gani?
 
Kwamba utafiti umefanyika kunako vyombo vya usafiri wa uma.
Aidha ikagundulika maneno kadhaa yatumikayo kunako daladala hayajakaa njema, baadhi yake machache ni kama haya ;-
> Atakupa mbele!
> Hujapewa mbele?
> Utapewa nyuma!
> Nitakupa nikikaa vizuri !
>Ngoja isimame nikupe!
> Subiri asimamishe nikupe .
> Nyuma hujapewa?
> Hivi nilivyokaa nitakupaje?
> We tulia usinipelekeshe utapewa/ntakupa > We vipi ? Nikupe mara ngapi ?
> Nimeshampa huku mbele, huko nyuma msimpe!
> We si nimekwambia hapo mbele simamisha!,
- Huyu mwingine alipanda bus akiwa na gunia lake la mkaa uliowekwa juu ya keria, alipofika kituoni kwake akasikika "dereva simamisha na nina Mkaa juu ! " dereva akauliza "unasemaje?"
na upepo ukachafuka.
hivi umewaza nini we Judgement?
 
Last edited by a moderator:
hivi umewaza nini we Judgement?

Kwa waTanzania baadhi ya maswali, majibuye ni maswali.
Nakujibuswali ;-
Kwa mustaqbali wa swalilo ndiyo kusema katika kupanda kwako midaladala siku zote hizi, maneno sampuli hii hujayaskia YNNAH?
Na uyasikiapo hayakupi maana mmbadala ?
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

lugha gongana.......lol
Mengi ktk hayo hutokea kwenye bus! Hahahahaaa sikiliza na haya, 'samahani brother ulikalia big g sogea nikubandue!' mwingine alimwaga maji kupitia dirishani, tahamaki!! 'haiyaaa!! Samahani kaka nimekumwagia?' akajibu 'hapana' 'nimekulowesha?' jamaa akajibu tena 'hapana' akauliza tena kwa mshangao 'nimekuchafua? Kwa upole zaidi 'hujanifanya chochote ndugu, endelea na kazi zako!' huku akikamua shati lake sehemu iliyolowana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom