Tahadhari

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Weekend hii yamemkuta yalio mkuta,jamaa yangu mmoja ambae bila kutarajia wala kutegemea,amejikuta kwenye balaa kubwa,katika hoteli moja maarufu hapa mjini DAR.
Jamaa huyo alikutana na binti mrembo sana, wakapanga wakaelewana wakakutana hotelini,wakati kila mtu kaweka nguo kando kwa ajili ya mechi, kabla ya mechi kuna yale mazoezi ya kupasha mwili moto(romance)binti kajifanya kapagawa ajabu. Akamsihi jamaa amnyonye chuchu, mara ninyonye na ziwa hili, mara na hili. Baada ya muda jamaa kalegea hakujitambua tena na baada ya kuzinduka kakuta kaibiwa sh milioni 3 alizokopa toka benki. ukweli ni kuwa kwenye chuchu yule binti aliweka madawa ya kulevya.
Tahadhari na ushauri;
Najua humu ndani JF kuna wanaume safi, sio wakware kama huyo jamaa.Ila tuwatahadharishe hao jamaa zetu nje ya JF masharp/wakware;
1.Kwanza wakipata mkopo wafululize moja kwa moja majumbani kwao na wawakabidhi furushi lote la pesa wake zao.
2.Kama hawajaoa kwa nini wadroo pesa zote toka benki? waache shoo za mitaani,
3.Kwa wanaume na wanawake ukiwa baa au grocery chonde chonde usitoke ukaacha kinywaji chako mezani,waweza leweshwa.
4.Usimwamini mtu usiemjua labda awe.
5.Ukiwa safarini,usije pewa biskuti,pipi, au chakula chochote na jirani yako.
6.Ukipewa lift na mtu usiemjua, sisitiza vioo vya gari vifunguliwe.
Hizo ni baadhi tu ya tahadhali.
 
Huwa yapo hayo, la msingi unatoka na kiwango fulani cha kutosha siku hiyo tu, kama 60,000 unajua itamaliza, na hata ikiibwa sio tatizo kubwa.
Hata hivyo huyo jamaa limbukeni wa mapenzi..demu wa kupritendi utamjua tuu, kulegea kwa kuigiza ni tofauti kabisa na kuleo ile kimapenzi.....
 
Weekend hii yamemkuta yalio mkuta,jamaa yangu mmoja ambae bila kutarajia wala kutegemea,amejikuta kwenye balaa kubwa,katika hoteli moja maarufu hapa mjini DAR.
Jamaa huyo alikutana na binti mrembo sana, wakapanga wakaelewana wakakutana hotelini,wakati kila mtu kaweka nguo kando kwa ajili ya mechi, kabla ya mechi kuna yale mazoezi ya kupasha mwili moto(romance)binti kajifanya kapagawa ajabu. Akamsihi jamaa amnyonye chuchu, mara ninyonye na ziwa hili, mara na hili. Baada ya muda jamaa kalegea hakujitambua tena na baada ya kuzinduka kakuta kaibiwa sh milioni 3 alizokopa toka benki. ukweli ni kuwa kwenye chuchu yule binti aliweka madawa ya kulevya.
Tahadhari na ushauri;
Najua humu ndani JF kuna wanaume safi, sio wakware kama huyo jamaa.Ila tuwatahadharishe hao jamaa zetu nje ya JF masharp/wakware;
1.Kwanza wakipata mkopo wafululize moja kwa moja majumbani kwao na wawakabidhi furushi lote la pesa wake zao.
2.Kama hawajaoa kwa nini wadroo pesa zote toka benki? waache shoo za mitaani,
3.Kwa wanaume na wanawake ukiwa baa au grocery chonde chonde usitoke ukaacha kinywaji chako mezani,waweza leweshwa.
4.Usimwamini mtu usiemjua labda awe.
5.Ukiwa safarini,usije pewa biskuti,pipi, au chakula chochote na jirani yako.
6.Ukipewa lift na mtu usiemjua, sisitiza vioo vya gari vifunguliwe.
Hizo ni baadhi tu ya tahadhali.

hapo kwenye bluu umenikumbusha kuna dada alipewa lift mwisho wa siku alijikuta anaambiwa anyonyeshe kobe na alikufa huyo dada kwa ajili ya kupanda lift za watu asiowajua....kuhusu huyo jamaa yako lazima ni mgeni hapa mjini...hawezi kuwa **** kiasi hicho kukutana na mtu hamfahamu huku kabeba kiasi kikubwa hivyo cha pesa....mpe pole
 
Inaonekana Binti anaijua sana kazi yake ya utafutaji tetetetet!mujini skuli ..
huyo jamaa nadhani atawaogopa mabinti wote :)
 
Huyo binti alijuaje kuwa jamaa anakiasi kikubwa namna hiyo?
Je unaweza kumlambalamba mwanamke ambaye hujui hata sehemu ya kumpata?
 
Nami pia nampongeza huyo binti, zama hizi mtu kutembea na 3ml ambazo umekopa benki....? ni uchizi wa hali ya juu.

anyway the story lacks genuity, it is cook up.
 
Dah huyo jamaa kweli wakuja, yaani alipopata millioni 3 akajua sasa namaliza kazi namega mademu wote, hahahha kumbe wenzie wajanja zaidi. wala simpi pole huyo jamaa ajifunze
 
Huyo binti alijuaje kuwa jamaa anakiasi kikubwa namna hiyo?
Je unaweza kumlambalamba mwanamke ambaye hujui hata sehemu ya kumpata?

Mkuu hawa matapeli sijui huwa wana mbinu gani?
nahisi kuna madawa ya kimazingara huwa wanatumia kujua kama mtu una pesa au la, kwani wakikuotea! hawabahatishi.
 
Nami pia nampongeza huyo binti, zama hizi mtu kutembea na 3ml ambazo umekopa benki....? ni uchizi wa hali ya juu.

anyway the story lacks genuity, it is cook up.
Akina tomaso mpo wengi,nikupe evidence? mkopo alichua crdb na yeye anaishi tabata jina.......................eeeeeh naishia hapo inwezekana mwenzangu ndio mpishi mie sivyo. Hapa ni genuine story 100%
 
kumchukua demu hata hujui utampata wapi ina maana huyo ni changudoa,na huyo kaka yetu ni hajatulia,mshahara wa dhami ni mauti.machangudoa ni mabizness women,sifa mojawapo ya wafanyabiashara ni kutafuta mbinu mpya za kuongeza kipato.
kina kaka tafuteni binti mmoja umpende akupende,umpe uroda akupe uroda hiyo ndiyo itawaepusha na mengi maana hata tukiwashauri jinsi ya kuepuka mtego huu wataibuka na mpya.
 
Weekend hii yamemkuta yalio mkuta,jamaa yangu mmoja ambae bila kutarajia wala kutegemea,amejikuta kwenye balaa kubwa,katika hoteli moja maarufu hapa mjini DAR.
Jamaa huyo alikutana na binti mrembo sana, wakapanga wakaelewana wakakutana hotelini,wakati kila mtu kaweka nguo kando kwa ajili ya mechi, kabla ya mechi kuna yale mazoezi ya kupasha mwili moto(romance)binti kajifanya kapagawa ajabu. Akamsihi jamaa amnyonye chuchu, mara ninyonye na ziwa hili, mara na hili. Baada ya muda jamaa kalegea hakujitambua tena na baada ya kuzinduka kakuta kaibiwa sh milioni 3 alizokopa toka benki. ukweli ni kuwa kwenye chuchu yule binti aliweka madawa ya kulevya.
Tahadhari na ushauri;
Najua humu ndani JF kuna wanaume safi, sio wakware kama huyo jamaa.Ila tuwatahadharishe hao jamaa zetu nje ya JF masharp/wakware;
1.Kwanza wakipata mkopo wafululize moja kwa moja majumbani kwao na wawakabidhi furushi lote la pesa wake zao.
2.Kama hawajaoa kwa nini wadroo pesa zote toka benki? waache shoo za mitaani,
3.Kwa wanaume na wanawake ukiwa baa au grocery chonde chonde usitoke ukaacha kinywaji chako mezani,waweza leweshwa.
4.Usimwamini mtu usiemjua labda awe.
5.Ukiwa safarini,usije pewa biskuti,pipi, au chakula chochote na jirani yako.
6.Ukipewa lift na mtu usiemjua, sisitiza vioo vya gari vifunguliwe.
Hizo ni baadhi tu ya tahadhali.

Tall, I like your diplomatic way ya kutoa tahadhari. Nimecheka mno.
Thanx kwa tahadhari, tutayazingatia yote
 
Hehhe hhehe kweli ukiingia jiji kwa pupa ndo faida yake!
jamaa lofa sana mkopo woote kamkopea changu,naisikitikia familia yake km anayo,watalishwa maharage,mchicha kwa kwenda mbere mpaka jamaa amalize mkopo lol,du ila nimeumiss kichizi MCHICHA:p
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom