Tahadhari

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,870
155,829

Wanasayansi wa kituo cha utafiti wa anga za juu cha Marekani, NASA, wameonya kutokea kwa kimbunga kikubwa cha bahari upande wa kusini mashariki mwa bahari ya Hindi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka makao makuu ya shirika hilo yaliyoko nchini Marekani, ni kwamba mtambo uliofungwa hivi karibuni kwenye satelaiti kubwa ya utafiti inayoelea angani umetuma picha za kuwepo kimbunga hicho ingawa bado shirika hilo halijatoa taarifa rasmi lini tukio hilo linaweza kutokea.
SOURCE: NASA
 
Mbona picha uliyoweka inafanana kama ni ya mlipuko wa aina fulani? Haijakaa kama kimbunga
 
Back
Top Bottom