Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

Ndio mafuriko yenyewe hayo we mzee??Tatizo la kukimbia engineering

Mkuu kumbe barabara ikiwa aina mitaro mvua ikanyesha maji yakijaa juu ya barabara ndio mafuriko...nashukuru engineering wangu kwa ufafanuzi wako murua.
 
Ohh nimesikia kwamba umetokea mtetemeko wa ardhi Mtwara so guys be aware and get ready for it!:hatari:
 
Kwa tetemeko la indonesia we dont expect tsunami in tanzania sansan ni aftershock waves zitazochafua kidogo hali ya bahari...shukran kwa tahadhari nzito uliyoitoa ila next time usitutishe sana watanzania hatujazoea mambo hayo ya tsunami

sisi tuna matatizo....! haya mheshimiwa, nenda UFUKWENI UKAOGELEE...........
 
Hii maneno ya tahadhari ya Tsunami inanikumbusha Maandiko Matakatifu yaliyomhusu Nuhu kutengeneza safina lakini watu kutokana na kutokuamini kwao walimpuuza sana na kumuona kama mwehu fulani. Nawaomba tuache kupuuzia mambo na kuyarahisisha, waacheni wanaochukua tahadhari wafanye hivyo kwa faida yao ili msije kulaumiwa kwa kuwapotosha wengine kutochukua tahadhari ya kutosha. Inasemekana Tsunami inaweza kufika pwani ya Tanzania saa moja jioni.
 
Hakuna sunami tanzania hizo zinaitwa mvua za masika zenye gurumo za hapa na pale!
Sikilizeni kwa makini matangazo ya utabiri wa hali ya hewa yanayoletwa kwenu na mamlaka ya hali ya hewa tanzania.
Tengenezeni mitaro vizuri na msitupe takataka kwenye mitaro ya maji pia muhame mabondeni msimtafute mchawi kwa ubishi wenu wa kutaka kuishi dar se salaam.
 
Ndege ya Precision ATR 72 iliyoondoka Knjaro saa saba mchana huu kwenda DSM kupitia Zenji imekwama Zenji kutokana na mvua kubwa DAR. Zenji kwenyewe radi inapiga sana sijajua hatima ya safari ya Dar itakuwaje?

"Asante Mungu mvua imepungua
 
DO not panic

Hakuna Tsunami



WEIO21 PHEB 111151
TSUIOX

TSUNAMI BULLETIN NUMBER 005
PACIFIC TSUNAMI WARNING CENTER/NOAA/NWS
ISSUED AT 1151Z 11 APR 2012

THIS BULLETIN IS FOR ALL AREAS OF THE INDIAN OCEAN.

... AN INDIAN-OCEAN-WIDE TSUNAMI WATCH IS IN EFFECT ...

... A MAJOR AFTERSHOCK OCCURRED AT 1043Z WITH MAGNITUDE 8.3 ...

... THE WATCH AREA IS NOW REDUCED ...

A TSUNAMI WATCH IS IN EFFECT FOR

INDONESIA / INDIA / SRI LANKA / MALDIVES / UNITED KINGDOM

THIS BULLETIN IS ISSUED AS ADVICE TO GOVERNMENT AGENCIES. ONLY
NATIONAL AND LOCAL GOVERNMENT AGENCIES HAVE THE AUTHORITY TO MAKE
DECISIONS REGARDING THE OFFICIAL STATE OF ALERT IN THEIR AREA AND
ANY ACTIONS TO BE TAKEN IN RESPONSE.

AN EARTHQUAKE HAS OCCURRED WITH THESE PRELIMINARY PARAMETERS

ORIGIN TIME - 0839Z 11 APR 2012
COORDINATES - 2.3 NORTH 93.1 EAST
LOCATION - OFF W COAST OF NORTHERN SUMATRA
MAGNITUDE - 8.7

MEASUREMENTS OR REPORTS OF TSUNAMI WAVE ACTIVITY

GAUGE LOCATION LAT LON TIME AMPL PER
------------------- ----- ------ ----- --------------- -----
TRINCONMALEE LK 8.6N 81.2E 1116Z 0.04M / 0.1FT 18MIN
COCOS ISLAND AU 12.1S 96.9E 1102Z 0.08M / 0.3FT 18MIN
TELUKDALAM ID 0.6N 97.8E 1045Z 0.19M / 0.6FT 10MIN
SABANG ID 5.8N 95.3E 1010Z 0.36M / 1.2FT 06MIN
MEULABOH ID 4.1N 96.1E 1007Z 1.06M / 3.5FT 12MIN
DART 23401 8.9N 88.5E 0956Z 0.03M / 0.1FT 06MIN

LAT - LATITUDE (N-NORTH, S-SOUTH)
LON - LONGITUDE (E-EAST, W-WEST)
TIME - TIME OF THE MEASUREMENT (Z IS UTC IS GREENWICH TIME)
AMPL - TSUNAMI AMPLITUDE MEASURED RELATIVE TO NORMAL SEA LEVEL.
IT IS ...NOT... CREST-TO-TROUGH WAVE HEIGHT.
VALUES ARE GIVEN IN BOTH METERS(M) AND FEET(FT).
PER - PERIOD OF TIME IN MINUTES(MIN) FROM ONE WAVE TO THE NEXT.

NOTE - DART MEASUREMENTS ARE FROM THE DEEP OCEAN AND THEY
ARE GENERALLY MUCH SMALLER THAN WOULD BE COASTAL
MEASUREMENTS AT SIMILAR LOCATIONS.

EVALUATION

SEA LEVEL READINGS INDICATE A TSUNAMI WAS GENERATED. IT MAY
ALREADY HAVE BEEN DESTRUCTIVE ALONG SOME COASTS.

BASED ON THESE DATA THE THREAT CONTINUES FOR ALL COASTAL AREAS OF
THE INDIAN OCEAN. FOR THOSE AREAS - WHEN NO MAJOR WAVES HAVE
OCCURRED FOR AT LEAST TWO HOURS AFTER THE ESTIMATED ARRIVAL TIME
OR DAMAGING WAVES HAVE NOT OCCURRED FOR AT LEAST TWO HOURS THEN
LOCAL AUTHORITIES CAN ASSUME THE THREAT IS PASSED. DANGER TO
BOATS AND COASTAL STRUCTURES CAN CONTINUE FOR SEVERAL HOURS DUE
TO RAPID CURRENTS. AS LOCAL CONDITIONS CAN CAUSE A WIDE
VARIATION IN TSUNAMI WAVE ACTION THE ALL CLEAR DETERMINATION MUST
BE MADE BY LOCAL AUTHORITIES.

ESTIMATED INITIAL TSUNAMI WAVE ARRIVAL TIMES AT FORECAST POINTS
WITHIN THE WARNING AND WATCH AREAS ARE GIVEN BELOW. ACTUAL
ARRIVAL TIMES MAY DIFFER AND THE INITIAL WAVE MAY NOT BE THE
LARGEST. A TSUNAMI IS A SERIES OF WAVES AND THE TIME BETWEEN
SUCCESSIVE WAVES CAN BE FIVE MINUTES TO ONE HOUR.

LOCATION FORECAST POINT COORDINATES ARRIVAL TIME
-------------------------------- ------------ ------------
INDONESIA SIMEULUE 2.5N 96.0E 0912Z 11 APR
BANDA_ACEH 5.5N 95.1E 0933Z 11 APR
SIBERUT 1.5S 98.7E 0944Z 11 APR
PADANG 0.9S 100.1E 1025Z 11 APR
BENGKULU 3.9S 102.0E 1037Z 11 APR
CILACAP 7.8S 108.9E 1150Z 11 APR
BANDAR_LAMPUNG 5.7S 105.3E 1200Z 11 APR
BALI 8.7S 115.3E 1234Z 11 APR
BELAWAN 3.8N 98.8E 1326Z 11 APR
KUPANG 10.0S 123.4E 1333Z 11 APR
BALI 8.7S 115.3E 1234Z 11 APR
INDIA GREAT_NICOBAR 7.1N 93.6E 0937Z 11 APR
LITTLE_ANDAMAN 10.7N 92.3E 1015Z 11 APR
NORTH_ANDAMAN 13.3N 92.6E 1045Z 11 APR
PORT_BLAIR 11.9N 92.7E 1050Z 11 APR
CHENNAI 13.4N 80.4E 1134Z 11 APR
TRIVANDRUM 8.3N 76.9E 1204Z 11 APR
KAKINADA 17.2N 82.7E 1204Z 11 APR
MANGALORE 13.3N 74.4E 1339Z 11 APR
BOMBAY 18.8N 72.6E 1605Z 11 APR
GULF_OF_KUTCH 22.7N 68.9E 1636Z 11 APR
SRI LANKA TRINCOMALEE 8.7N 81.3E 1049Z 11 APR
DONDRA_HEAD 5.9N 80.6E 1054Z 11 APR
COLOMBO 6.9N 79.8E 1121Z 11 APR
JAFFNA 9.9N 80.0E 1235Z 11 APR
MALDIVES GAN 0.6S 73.2E 1144Z 11 APR
MALE 4.2N 73.6E 1149Z 11 APR
MINICOV 8.3N 73.0E 1214Z 11 APR
UNITED KINGDOM DIEGO_GARCIA 7.3S 72.4E 1202Z 11 APR

ADDITIONAL BULLETINS WILL BE ISSUED BY THE PACIFIC TSUNAMI
WARNING CENTER FOR THIS EVENT AS MORE INFORMATION
BECOMES AVAILABLE.

THE JAPAN METEOROLOGICAL AGENCY MAY ISSUE ADDITIONAL INFORMATION
FOR THIS EVENT. IN THE CASE OF CONFLICTING INFORMATION...THE
MORE CONSERVATIVE INFORMATION SHOULD BE USED FOR SAFETY.



SOurce:http://ptwc.weather.gov/ptwc/text.php?id=indian.TSUIOX.2012.04.11.1151
 
Hizi ni habari toka CNN. Ni afadhali kuchukua tahadhari lisiwepo kuliko kudharau Sunami ikawepo itakuwa isse wakuu.
 

Attachments

  • 2012411113936616580_20.png
    2012411113936616580_20.png
    40.2 KB · Views: 223
Sasa watachukua hatua gani maana pesa yoye imetumika kununua magari ya *****. Tsunami yetu ni maandamano.
 
Back
Top Bottom