ngoja nihamie milimani
wametoa watu gani TMA ??? kama iyo warning wametoa watu wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania jua ni kinyume , hawa jamaa wao huwa wapo chaka always, yaani sijui wanatumia TUNGULI kutabiri ?? anyway , MUNGU TUEPUSHE NA TSUNAMI
Tabata ipi mkuu?Hiyo Tsunami yaweza kubwa kiasi cha kutuathiri na siye wa huku Tabata jamani? I wish itaishia huko Jangwani kwa hiyo sisi tuendelee na maisha yetu.
wametoa watu gani TMA ??? kama iyo warning wametoa watu wa mamlaka ya hali ya hewa Tanzania jua ni kinyume , hawa jamaa wao huwa wapo chaka always, yaani sijui wanatumia TUNGULI kutabiri ?? anyway , MUNGU TUEPUSHE NA TSUNAMI
bado sipati jibu la namna ya kusaidia watu
je walio kigamboni, mbweni, masaki wahame au ni mawimbi tu yatapiga baharini??
THIS BULLETIN IS ISSUED AS ADVICE TO GOVERNMENT AGENCIES. ONLY NATIONAL AND LOCAL GOVERNMENT AGENCIES HAVE THE AUTHORITY TO MAKE DECISIONS REGARDING THE OFFICIAL STATE OF ALERT IN THEIR AREA AND ANY ACTIONS TO BE TAKEN IN RESPONSE.
Tuombe Mungu tuHii kitu haitatokea Tanzania
Haya mambo ya kiwewe tu
Angalieni ITV na sikilizeni RADIO ONE