Tahadhari - Wachumba wa Makabila

umegusa upande mmoja,tuendelee na pande zingine zakumi ukiona tabu nenda kimkoa mkoa ili turahisishe

Makabila mengi sana. Hila wanawake wa Tanga lazima uwe mvumilivu. Akirudi kwao kwenye shughuli, mpiga ngoma wa kijijini anakuzidi spidi.

Kwenye shughuli kama za harusi hivi, wakati wa usiku ni lazima upigwe mdumange. Mdumange ukikolea, mpiga ngoma anakatiza ngoma ghalfa na kupandisha mashetani huku akilia: nataka mavitu, nataka mavitu, nataka mavitu ....

Hili kulipoza shetani inabidi wachezaji wajitolee na baadaye ngoma inaendelea.
 
Hili linji likubwa sana lina mikoa mingi sana mbona umeurukia mkoa huo haraka? haya Za10
:focus:

Ndio li nchi likubwa sana. Vijana wa kiSukuma wanamalizia kwenye ng'ombe na mbuzi wakiwa malishoni. Afu wanapenda hile kitu changulaga.
 
Makabila mengi sana. Hila wanawake wa Tanga lazima uwe mvumilivu. Akirudi kwao kwenye shughuli, mpiga ngoma wa kijijini anakuzidi spidi.

Kwenye shughuli kama za harusi hivi, wakati wa usiku ni lazima upigwe mdumange. Mdumange ukikolea, mpiga ngoma anakatiza ngoma ghalfa na kupandisha mashetani huku akilia: nataka mavitu, nataka mavitu, nataka mavitu ....

Hili kulipoza shetani inabidi wachezaji wajitolee na baadaye ngoma inaendelea.

Tuendelee na pande za knjaro,arusha,na singida.Halafu Zakumi ungebalance gender ingekuwa poa sana
 
Watoto wa kipare wafupi sana. Nasikia Nyerere alifanya ziara kule, basi wakaja kumsikiliza. Kabla ya kutoa hotuba yake akawaambia kaiteni wazazi wenu. Wapare wakajibu ni thithi baba zako ni thithi mama zao.

wanakwea milima haoooooo............
 
Pmweusi:

Kwikwikwi. Usiite ugoro. Hule unga asilia. Anyway, nilikuwa nawania wale waganga wa kienyeji waliojazana DSM.

Ah...... hao waliojazana mjini sio orijino hao hawana tofauti na wale wa kwa mtogole baba,ukitaka orijino baba nenda oldoinyo.
 
Watoto wa kipare wafupi sana. Nasikia Nyerere alifanya ziara kule, basi wakaja kumsikiliza. Kabla ya kutoa hotuba yake akawaambia kaiteni wazazi wenu. Wapare wakajibu ni thithi baba zako ni thithi mama zao.

hahahahahahahah lol this is cryz man... Wapare mnisamehe bure.... but this is funny.:cool::cool:
 
Wamachinga bah, kitu angali kitu chenyewe nimepewa bure na Mungu kunyima mtu siweziiiiii, jiandae kwa hilo ukioa:smile-big:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom