Mkuu namba zipo nyingi na ukipiga unakatwa salio.
wenye m pesa ac. mkae chonjo make hawachelewi.wizi mtupu kutishana tu kuibiana tu hakuna jema popote.
na umeeona ile ekalu la mwammy kule u-turn. yaani duniani hii!Watu wanajenga majumba kufuru humu