Tahadhari - Uchaguzi wa Ubunge Arumeru Mashariki Hatutaki Kuona Hii

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Tukiwa tunaelekea kwenye kile kinyan'ganyiro cha uchaguzi wa wabunge Arumeru Mashariki sisi wapiga kura hatutapenda kuona matukio kama haya!
CCM+Kampeni.png
 
iseee!
The power of the oppresser originates within the mind of the oppressed
 
As long as it is not unconstitutional to dish out meals during political campaigns, CCM should be left to do what they regard beneficial to them. Magwand.a are also allowed to apply same tactics if will help them draw in more voters to their campaign rallies.
 
Nasikia Njaa inaanza kuinyemelea Arumeru na Kile chama al maarufu kinachopika ubwabwa na nyama kitaanza kazi ya rasmi ya kugawa ubwabwa, wana arumeru kaeni mkao wa kupikiwa ubwabwa. Wapishi wameshapatikana bado masufuria na mchele
 
Hivi chakula rasmi cha wameru ni nini; nyama, ugali, matoke, wali, pilau?
 
Wakae wakijua wakileta vitu kama hivi watakao kula ni watoto tu kama inavyojionyesha kwenye picha ambao hawajafikia umri wakupiga kura!
 
Dereva mmoja wa dalala pale A. town aliniambia kuwa wakati wa uchaguzi 2010 walipewa elfu 20 ili wapeperushe bendera za ccm kwenye magari yao. Yule dereva with confidence anasema "tulivuta pesa, bendera tukaweka kwenye magari yetu, alafu kura kwa Lema" hahahahahaha huenda katika hili ccm watakuwa wamejifunza na hawatarudia kufanya ujinga huu
 
CCM bila kutoa ubwabwa hawawezi kupata watu wa kuwasikiliza! hivyo hili litakuwepo tu pale Arumeru!
 
As long as it is not unconstitutional to dish out meals during political campaigns, CCM should be left to do what they regard beneficial to them. Magwand.a are also allowed to apply same tactics if will help them draw in more voters to their campaign rallies.

Are you aware of corruption?.how comes confidently you assert that it is allowed to do so.a point of information to you ;ccm are doing so from their practices of manipulating powers because being on power they control the police force and all agencies implementing corruption practices eg.takukuru.From today be ware of these ma.ga.mba
 
hey guys lets be careful things are not the same anymore watu hawadanganyiki tena na ubwabwa
 
  • :sleepy: Hii ni kwa wale ambao bado wamelala wanapaswa kuamka sasa, well
    1.chakula cha wiki mbili na mateso ya miaka mitano?
    2.shida ya ardhi wa miaka zaidi ya 40 na repoti kwenda kupelekwa kesho baada ya chama hicho kushinda?
    3.ahadi za igunga na yaliyo tekelezwa mpaka sasa baada ya uchaguzi?
    4.Maisha bora kwa kila mdanganyika na ukosekanaji wa pesa serekalini?
    Na mengine kama hayo na fikiri uhitaji akili zaidi ya wewe kujua nini kifanyike


 
Back
Top Bottom