TAHADHARI - Ogopa Mega Wealth

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
TAHADHARI – Mega Wealth

Ndugu zangu

Ukipita Njiani haswa maeneo ya mwenge kwenye Internet café na sehemu za watu utaona matangazo ya Mega Wealth wanasema Jiunga na MEGA WEALTH UTAJIRIKE – TOA ALFU 70 UPATE BILIONI 3 .

Hii ni aina nyingine ya Deci kwahiyo ndugu zangu muwe makini sana huu ni mtandao wa kihalifu unaoanza kusambaa kwa siku za karibuni

Hii ni taarifa tu lakini unapofuatwa na hawa watu ni wewe mwenyewe ndio utaweza kuamua kama ujiunge au usijiunge .
 
Kaka pamoja na kutoa tahadhari hiyo, usije shangaa baada ya wiki ukasikia watu wamelizwa. Wajua tena wabongo kwa kupenda vya rahisi.:becky::becky::becky:
 
inawezekana watu wamechakachukua jina la hiyo kampuni lakini kuna kampuni ya mega wealth ya marekani ambayo ukiandika mchanganuo wa biashara kuna pesa unalipia wanakuja kufanya utafiti halafu wanakupa mkopo kwa masharti kila kitu kitoke Marekani sasa wabongo wameamua kutumia bongo yao kuwaliza watu inabidi tuwe makini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom