Tahadhari na tigo kwa mnaoomba kazi...............

wameweka madoido mengi mpaka sasa yanakera na yanafanya wasahau dhumuni kuu la mawasiliano, mbali na kutopatikana siku hz kuna katabia wanakuwekea matangazo au nyimbo ukisikiliza mpaka mwisho ndo unaambiwa "mteja uliyempigia hapatikani kwa sasa", that is NONSENSE
 
Back
Top Bottom