Tahadhari na tigo kwa mnaoomba kazi...............

Tungehama zamani, tatizo CV nyingi zipo kwa waajiri zinapitiwa huko na maHR na tumeweka namba za tIGo, ukibadili ghafla ndio hautapatikana kabisa hao waajiri watakapokupigia. Tutahama taratibu!
 
hilo ni kweli kabisa naunga mkono hoja asilimia zote kwani hata mimi ni muhanga wa tatizo hilo chupuchupu nikose kibarua Tigo wamenitesa kusafiri km 1200m kwa masaa 18,..........!
 
mtandao wa tigo kweli unaboa,unakaa zaidi ya siku 3 bila network,na hakuna swala lolote linalofanyika.
watu wa huku mikoani wanajua hili swala vyema sana,namba ya tigo si ya kuandika kwenye cv
 
nimetupa line yangu ya tigo jamani, kwanza wali[poanza kale kamchezo ka voice mail. Waache basi voda au airtel wakianzisha kamchezo ndo waige wenyewe hawana wataalamu wa kutosha. nikajiondoa. Kwanza nilishaenda kuwawakia walikuwa na kamchezo cha kuwaandikia customer wangu kuwa mtu mwenye namba hii hana salio la kutosha mpigie sikupenda na ndo ulikuwa mwisho wao.
 
Kaka umenigusa sana maana hawa jamaa ni wapumbavu kupitiliza.mimi nilipoteza line yao nimekwenda kusajili nyingine kwa namba ileile matokeo yake imekubali ila akinipigia mtu wa mtandao tofauti na tgo inakuwa haipatikani nimerudi kwenye ofisi zao kuwaelekeza wanadai wao hawausiki yani jamaa hawana kabisa lugha ya biashara.TIGO MNABOA SANA TENA SANA.na wafundisheni wafanyakazi wenu lugha nzuri Nyambafu.
 
ha ha ha utakuwa ume2mwa kupromote mtandao fulani fulani wa sim c bule kua muazi 2 2takuelewa bana . hii sio cite ya matangazo. kama kazi ipo,ipo 2 km hamna hamna bana..............................
 
TCRA should wake up NOW and take actions against these operators. Why all these unnecessarily useless messages at the middle of the night?
 
nimetupa line yangu ya tigo jamani, kwanza wali[poanza kale kamchezo ka voice mail. Waache basi voda au airtel wakianzisha kamchezo ndo waige wenyewe hawana wataalamu wa kutosha. nikajiondoa. Kwanza nilishaenda kuwawakia walikuwa na kamchezo cha kuwaandikia customer wangu kuwa mtu mwenye namba hii hana salio la kutosha mpigie sikupenda na ndo ulikuwa mwisho wao.

mkuu hili la msg eti sanja kakupigia ila hana salio ni kweli kabisa, mtu nnasalio la kutosha lkn wanasema hana salio.
 
kampuni ya TIGO sikuhz wahuni, wana ahadi hewa nyingi sana wakati hata kupatikna simu hazipatikani, wakati mwingine unatakiwa kupiga mara 3 hadi 5 ndipo uipate
 
Back
Top Bottom