tahadhari na promosheni za tigo

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
ebwana mnajua hivi sasa tigo wanachangisha 150ml kutoka kwa wateja! Ubaya ni kwamba wanalazimishia michango, kwa mfano ukitaka kujiunga na exstreme sms upate msg 100 utaambiwa huna salio, au itakaa kimya hawajibu! nawe utatry tena kutuma kumbe bwana washe--nzi tupu hao hawana maana, imagine nimejiunga nipate unafuu wa kutoa habari flani ya matatizo, wamenila hela kibao km 4000/=. nyie TIGO msituzengue hata kidogo mtu kuingia ktk promotion ni hiari yake hakuna kulazimishana!imagine nilikuwa maporini na siwezi kupata hela? issue ndogo but zinaweza kimbiza wateja, airtel, voda wote bei mle mle tuu msituchafue hamna adabu! habari ndo hiyo!
 
Upatu mwingine huu, a.k.a DECI

kwelii huu upatu mwingine ubaya ni tunapolazimishana mtu ajiunge atakavyo, km hawa sio wahuni why watumie the same number ya kujiunga sms 100 katika new promotion? huo si ustaarabu hata kidogo anyi TIGO, wateja wakiwakimbia mtalaumu hali mabaya ya uchumi au? well kam jamaa hapo ju alivosema mi pia nina line ya airtel haina mgogoro, kwanz nimewacal sana customer care wa TIGO hovyoo hata hawapokei na wamekuacha 15mins hewani! washamba kweli!mumeniudhi, si kuwa ni hela nyingi but hicho kitendo ni sawa na kubaka!
 
Hii mitandao ya simu sometimes inatuumiza wateja wao, na bahati mbaya ni kama vile hatuna la kuwafanya.
 
kwelii huu upatu mwingine ubaya ni tunapolazimishana mtu ajiunge atakavyo, km hawa sio wahuni why watumie the same number ya kujiunga sms 100 katika new promotion? huo si ustaarabu hata kidogo anyi TIGO, wateja wakiwakimbia mtalaumu hali mabaya ya uchumi au? well kam jamaa hapo ju alivosema mi pia nina line ya airtel haina mgogoro, kwanz nimewacal sana customer care wa TIGO hovyoo hata hawapokei na wamekuacha 15mins hewani! washamba kweli!mumeniudhi, si kuwa ni hela nyingi but hicho kitendo ni sawa na kubaka!

Usihangaike kuwapigia simu Customer Care, hiyo ni sera ya kampuni nzima na wale hawana uelewa wa hayo mambo. Wataishia kukupa majibu ya kubangaiza-bangaiza tu. Cha msingi kama hautaki usumbufu na longo longo na Tigo ni bora ukajitoa. Nadhani unatuma SIMAMA kwenda 15509
 
naam better umenipa jibu hilo ntawatumia SIMAMA fasta na kujiondoa taratiibu nibaki airtel better
 
KWANI ILE NYUMBA MSHINDI ALISHAKABIDHIWA?
MBONA HAJATANGAZWA? Halafu jamaa yule (Mbando) nilimsikia EATV last two weeks akidai hawajampatia eti bado nyumba yatengenezwa ili iwe yenye mvuto....MPO!!
 
Usihangaike kuwapigia simu Customer Care, hiyo ni sera ya kampuni nzima na wale hawana uelewa wa hayo mambo. Wataishia kukupa majibu ya kubangaiza-bangaiza tu. Cha msingi kama hautaki usumbufu na longo longo na Tigo ni bora ukajitoa. Nadhani unatuma SIMAMA kwenda 15509

Shida ya nini unajua tumeshakuwa kuwa wengi sana tigo na wao hawana uwezo wa kutuhudumia wote solution ni kuhama tun mbona mitandao iko mingi sana,nashangaa badala ya kurekebisha huduma zao wao wamekalia kutangaza mapromotion yasiyo na kichwa wala miguu, halafu kwa nini namba ya customer care ilipiwe, siku noja nilikuwa na pesa nyingi kwenye account yangu lakini naambiwa sina salio lakini pia sikweza kupiga simu custmer care kwa sabaabu sio bure sasa hapo tunafanyaje waungwana?
 
Back
Top Bottom