Tahadhari mnaopenda kuchukua wasichana warembo

Kuna mwingine kule kwa kina Rev masanilo alikuwa anatabia kila akiona binti mrembo lazima atie neno
Siku moja saa saba anatoka baa akakutana na mwanamke mzuri kama malaika anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari
Jamaa katia neno Bi dada akasema yes sir haina neno,jamaa na pupa zake akabanjua na binti mrembo baadae Binti akamwambia yeye ni nani,
na kila siku akawa lazima atokee kwa jamaaktk mazingira ya kutatanisha apate dose yake
Jamaa ,akaanza kuchanganyikiwa bila sababu na mpaka kupelekea uhai wake kuondoka
Bwana Masa kama ni kweli hebu nambie hiki kisa nilikikuta kwenu Zenj mitaa fulani :wink2:

kwa nini haya yamejaa sana ukanda wa pwani au uswaz coz of bahari au ukienda maeneo ya kasikazni au ukana wa kat hayapo haya
 
Dr na huyu anayekufukuza yaweza ikawa ni jini baada ya kumfanya akageuka Mbuni,,hahahaha!!!
avatar38244_1.gif
 
Mungu walinde tu, hawa kaka, baba, babu, na watoto wa kiume.
Ikiwezekana waokoe tu, na uwalinde kwa ulinzi wa kipekee kabisa.
Dah!!!!
 
Azaniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake

Ni kweli kabisa kaka/dada yangu, lakini sasa, wakati mwingine tusiwe na haki kupita kiasi.
Bora tuyajue haya yanayoendelea kwenye huu ulimwengu ulio jaa ya gizani kuliko ya nuruni, ili tujue hata jinsi ya kuwalinda,
na kuwaombea ndugu zetu.

Ubarikiwe kwani umetukumbusha neno zuri sana.
 
inawezekana hata utakae mtongoza hapa JF leo na akakubali mka-do kesho nae ni Jini
 
Wanaume mnaopenda kuchukua wasichana warembo hususani kama umekutana nae siku moja na kumtaka kimapenzi ikibidi kusex nae siku hiyo hiyo ni hatari sana.
mtaani sasa hivi majini wanawake yamejaa sana, utaona ni mrembo kama malaika kumbe jini utamdu muda si mrefu utapotea au utapata madhara

hakikisha msichana unaetaka kuwa nae kimahusiano unamjua vizuri eithe anaishi wap, anafanya kazi wap, marafiki zake ni nani, alisoma wapi na ufanye uchunguzi wa kina kabla hajaparamia majini!

majini watu ni wengi wanapita mabaa usiku au njiani wamesimama mchana/usiku wanarembua kweli kweli tuwe makini kwa hilo nina mifano hai wameonekana.
acha fiksi zako;
lete evidence hapa usije ukawa una-hallucinate... na malaika unawajua wewe?
 
kwa wale wanaopanda mabasi ya buguruni -feri watakubaliana na mimi hasa usiku ukiwa na macho ya roho unaweza muona mdada mzuri kajifunika full(ninja) ukiangalia knye kucha za mikona utaona tofauti au miguuni kama kwato za ngombe

acha uongo usijifanye una 'macho ya roho' ili kulinda unachosema huna macho ya kuona majini
 
We suzy wewe majini wakiume wapo pia alafu hayo nasikia yaa mchezo mbaya zaidi:rain:waonye pia na wale wanao tafutaga kuolewa usiku tu

mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!
 
kwa nini haya yamejaa sana ukanda wa pwani au uswaz coz of bahari au ukienda maeneo ya kasikazni au ukana wa kat hayapo haya

Jibu ni rahisi sana ni kwa kuwa ukanda wa pwani umetawaliwa na ustaarabu na desturi za waarabu,hata ukanda wa kati na kwingineko ulikosema huwa yanakuwepo hasa pale jamii hizo zinapokuwa zimeamua kufuata tamaduni za kiarabu,lakini kule kwetu usukumani Maswa ni vigumu sana kuyakuta hayo mambo kwa kuwa sisi ni kama tumerogwa na ng`ombe na jembe ukituletea mengine hatuelewani.
 
kwa wale wanaopanda mabasi ya buguruni -feri watakubaliana na mimi hasa usiku ukiwa na macho ya roho unaweza muona mdada mzuri kajifunika full(ninja) ukiangalia knye kucha za mikona utaona tofauti au miguuni kama kwato za ngombe

Dr. wa Ukweli, mimi naomba kuuliza, vipi imeshakutokea nini??? Naona kama una details za kutosha...
 
Wanaume mnaopenda kuchukua wasichana warembo hususani kama umekutana nae siku moja na kumtaka kimapenzi ikibidi kusex nae siku hiyo hiyo ni hatari sana.
mtaani sasa hivi majini wanawake yamejaa sana, utaona ni mrembo kama malaika kumbe jini utamdu muda si mrefu utapotea au utapata madhara

hakikisha msichana unaetaka kuwa nae kimahusiano unamjua vizuri eithe anaishi wap, anafanya kazi wap, marafiki zake ni nani, alisoma wapi na ufanye uchunguzi wa kina kabla hajaparamia majini!

majini watu ni wengi wanapita mabaa usiku au njiani wamesimama mchana/usiku wanarembua kweli kweli tuwe makini kwa hilo nina mifano hai wameonekana.

natamani hayo majini wawe wanawakata vikojoleo vyenu halafu wawaache hai. Mmezidi kuokota okota. Lol!
 
umenikumbusha ile ya mwanaFA ya kusema usije mjini kwasababu mjini kuna manyoya!!!mnakumbukaga jamaa alijifanya mwema kutoa msaada kwa ombaomba alipotoa msaada tu mwili wake mzima ukaota manyoya!
Wanaume mnaopenda kuchukua wasichana warembo hususani kama umekutana nae siku moja na kumtaka kimapenzi ikibidi kusex nae siku hiyo hiyo ni hatari sana.
mtaani sasa hivi majini wanawake yamejaa sana, utaona ni mrembo kama malaika kumbe jini utamdu muda si mrefu utapotea au utapata madhara

hakikisha msichana unaetaka kuwa nae kimahusiano unamjua vizuri eithe anaishi wap, anafanya kazi wap, marafiki zake ni nani, alisoma wapi na ufanye uchunguzi wa kina kabla hajaparamia majini!

majini watu ni wengi wanapita mabaa usiku au njiani wamesimama mchana/usiku wanarembua kweli kweli tuwe makini kwa hilo nina mifano hai wameonekana.
 
Hivi hayo hayatembelei maeneo ya kwetu huku maana kuna wakware hatari
 
Huku kwe2 aah shwaari mambo hayo mnayo nyie wa pwani ya kiwengwa cc bara wala.
 
Kuna siku nilikua natoka mitaa ya kinyerezi ndanindani
Kwenda barabarani kutafuta usafiri.
Ilikuwa ni usiku karibia sa tatu hivi na nilikua nategemea kuondoka
na watu fulani ikawa tofauti.
Mimi ni muoga sana kutembea usiku nikamuona mkaka anapita
nikamsimamisha tuongozane.
Njiani akawa ananisimulia kua kuna simba,mbele kidogo
akanitongoza nikajua anajisumbua mbele kila mtu ataenda kivyake
eh! Si akataka tumalizane palepale..
Sijui lilitoka wapi lile wazo,nikamjibu kwa upole tu kuwa
mimi ni Jini na ningependa kwenda nae kwangu tukamalizane huko.
Alishtuka akaniangalia miguu nikamwambia "najua mawazo yako
unataka kuona kwato zangu"
Kaka aliomba msamaha nikajifanya simsikii hadi tukafika barabarani.
Wanaume huo ujasiri na tamaa viwe na mipaka.
 
Hahahahahah......yaani wewe kiboko! You have made my night for sure!.....ahahahahhah!
 
mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!

Susy Hutendei haki wanaume hapa..pia siyo wanawake wote wametulia. Watu husema ni rahisi kumgundua mwanaume ana cheat kuliko mwanamke.
 
Duu wewe unatamani likutane na kila mwanaume....mimi natamani likutane na umpendae sana...mumeo au mpenzi wako na apelekwe msikule ndo utaja jua kuwa dua hiyo ni mbaya kwa wanaume akiwepo umpendae

Labda yupo singo at the moment kwa hiyo dua huenda isimfikie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom