Tahadhari: Maji Ya kunywa barabarani

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Wanabodi

Nawataadhalisha wanajamvi kuna ndugu yangu amapatwa na tatizo baada ya kununua maji ya barabarani ( Uhai)
mtaa ya magomeni akiwa anaenda mwenge, alinunua chupa moja ya maji kutoka kwa wauza maji lakini alipofika mwenge
alikuwa amesinzia kwenye gari, konda wakasadia kumpeleka kituo kidogo cha police lakini kwenye gari alikuwa ameibuwa kila kitu

Alipopimwa amekutwa na amawekewa madawa ya kulevya ndo ya lisababisha asinzie mpaka sasa bado anasinzia sinzia tokea jana

Onyo

Kuwa makini na vitu vya kula/kunywa vya barabarani(hasahasa wauza maji):A S embarassed:
 
Unaanza kuwaharibia watu biashara zao?
Acha uzushi kama ule wa Selander Bridge!

Je ni watu wangapi wamesinzia ukilinganisha na chupa za maji zinazouzwa kutwa nzima mabarabarani?
 
Wanabodi

Nawataadhalisha wanajamvi kuna ndugu yangu amapatwa na tatizo baada ya kununua maji ya barabarani ( Uhai)
mtaa ya magomeni akiwa anaenda mwenge, alinunua chupa moja ya maji kutoka kwa wauza maji lakini alipofika mwenge
alikuwa amesinzia kwenye gari, konda wakasadia kumpeleka kituo kidogo cha police lakini kwenye gari alikuwa ameibuwa kila kitu

Alipopimwa amekutwa na amawekewa madawa ya kulevya ndo ya lisababisha asinzie mpaka sasa bado anasinzia sinzia tokea jana

Onyo

Kuwa makini na vitu vya kula/kunywa vya barabarani(hasahasa wauza maji):A S embarassed:

Mkuu asante sana kwa taarifa. Wenye akili zao watachukua tahadhari! :hatari:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom