Tahadhari: Mafuriko makubwa kutokea Tanzania

Natumaini by now mabwawa yatakuwa yanakaribia kujaa maji maana tuliomba kweli mvua inyeshe ili mabwawa yajae maji


Dogo,

Hujasikia kasheshe yake....Nimeambiwa week ijayo mabwawa yote yanatapishwa kama vile vyoo vya uswahilini....Andaa misaada kwa ajili wahanga wa hayo mafuriko!!

Umeshahama kwenye ile room yako ya Kigogo??

Babu DC
 
Mimi nakaa Dar es Salaam lakini hakuna cha wingu zito wala radi. Ninachoona ni mvua nyepesi na anga nyepesiiiiiiii
 
Mimi nakaa Dar es Salaam lakini hakuna cha wingu zito wala radi. Ninachoona ni mvua nyepesi na anga nyepesiiiiiiii
 
Ile mvua iliyoanza kutishia amani,atimaye imepotea...TUNASHUKURU SANA KWA SALA ZENU.
 
Kama hiyo tahadhari imetolewa na mamlaka ya hali ya hewa ya nchi hii, hata haina haja ya kuhofia kwani wanaweza wakasema mvua itanyesha badala yake bonge la jua linatandika.

We wachuhuze wenzi tu wasiondoke alafu vua lishuke iwe kama juzi, hali ya hewa nyenyewe imachange hapa dar
 
Hii ni baraka iliyojificha kwa JK na utawala wake dhalimu, yaani habari ni mafurikom tu, hakuna cha Jairo, Katiba mpya, ubadhirifu wa bilioni 64 za sherehe za miaka 50 ya udhalimu wa wakoloni weusi. Mpaka wakati mwingine tunafikiria kuwa kamati ya ufundi ya JK ina mkono katika haya majanga.
 
Inanishangaza kweli kuona kuna wana jF bado hawauamini utabili wa hali ya hewa ati hata baada ya taarifa ya kitaalam webngine wanadhani taarifa hiyo ni ya uongoi nakutakuwa na jua kali badala ya mvua!!
 
Hii ni baraka iliyojificha kwa JK na utawala wake dhalimu, yaani habari ni mafurikom tu, hakuna cha Jairo, Katiba mpya, ubadhirifu wa bilioni 64 za sherehe za miaka 50 ya udhalimu wa wakoloni weusi. Mpaka wakati mwingine tunafikiria kuwa kamati ya ufundi ya JK ina mkono katika haya majanga.

Hapo kweli jk atakuwa anapumua kimtindo!
 
Cha muhimu ni kuchukua hatua ili kujihami na haya mafuriko. Suala la kuamini au kutokuuamini utabiri, tuliweke kando kwanza! Yakitokea tuyaepuke, yasipotokea basi itakuwa heri zaidi!
 
Tumekwisha...!! na hii miundombinu yetu, na kuwaachia watu wanajenga kwenye mkondo wa maji...!! sasa watu wanakufa hakuna wa kusema tunabakia maneno tuuuu...!!

kuna pahala nimewahi ku-comment kuhusu hili jambo mkuu, my concern ni kuwa waliojenga mabondeni wahame pasi na kujali nani ni nani, shida kwangu ni kwamba wanaonekana kuingilia njia za kupita maji kwa kuweka majengo ni wale hohe hahe tu na si matajiri.
mifano miwili nnayoifahamu ni wa KAJIMA pale JANGWANI na ule ukuta pale KIGOGO SAMBUSA.

binafsi ntaona kuwa haki inatendeka ikiwa hawa nao wataambiwa wang'oe majengo yao waache maeneno yale wazi ili maji yaweze kupita.
 
Inanishangaza kweli kuona kuna wana jF bado hawauamini utabili wa hali ya hewa ati hata baada ya taarifa ya kitaalam webngine wanadhani taarifa hiyo ni ya uongoi nakutakuwa na jua kali badala ya mvua!!

Nchi hii haina mamlaka ya Utabiri wa hali ya hewa, kuna waaguzi na wapiga ramli tu. Sijui labda kama waliwatishwa watu wanaokaa mabondeni wahame kwa kusema kuanzia jana kutakuwa na mvua kali sana zitakazoleta maafa makubwa hadi mwisho wa mwaka.

Binafsi hiyo mvua sijaiona niseme ule ukweli, labda kama imenyesha kwingine ila huku maeneo ya mikocheni na kijitonyama nilikoshinda jana na leo hakuna kitu, ndio kwanza jua linaongeza ukali wake hadi nataka nitembee *ch*

Tumeshachoka na haya matukio ya kutusahaulisha matukio muhimu kama katiba, matumizi mabaya ya pesa za sirikali etc, etc, now kila mtu mafuriko mafuriko, hata yasiyomuhusi now anaongelea mafuriko, aaaaaah
 
Ni vigumu kuwalaumu si kosa lao kwani hawana pa kwenda na upatikanaji wa viwanja kwa miango kadhaa umetawaliwa na rushwa na ufisadi wa kutupa na bei ya kodi za nyumba zinatisha na kukaisha tamaa. Nyumba za NHC wanapewa wenye nyumba na ambazo wamezipangisha wakati wenye kuzihitaji ni ndoto kuzipata.

Si hivyo tu, hata hivo viwanja watakavopewa utakuja kustaajabu wanaopewa ni watu ambao HAWAHUSIKI kabisa na si wakaazi wa mabondeni na kikubwa zaidi watu wa ardhi hujilimbikizia viwanja zaidi ya kimoja! nchi hii ! kufa kufaana! wewe subiri tu utayasikia!
 
Hata kama hatuiamini mamlaka bora tuchukue tahadhari.........Tahadhari ni Bora Kuliko Hatari/SHari
 
hakuna cha mafuriko, leo anagani kweupe hakuna hata dalili ya mvua.
 
Back
Top Bottom