Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Tuta wakati maji yanafikaga usawa wa madirisha? tehdu, ngoja niwahiii nikatengeneze tuta kupindisha mkondo wa majiiii

Waungwana,
kuna wingu zito sana limeanza kutanda Dsm,watu wameanza kuingia hofu kufuatia tahadhari iliyotolewa jana...zidisheni sala maafa yasijiludie.
Wale wa mabondeni tuanze kuwastua ndugu zetu wakimbie,maana wengi tuliludi kufukua vitu vyetu..
Msiseme sikusema.

kwa taarifa yenu hatuhami najua mnaona wivu chai, ugali na ubwabwa wa bure tunaopiga kwenye makambi yetu....na kama kawaida mama yetu Tibaijuka kasema atatujengea nyumba za "faiba" so itakuwa ni mwendo wa kuelea........jamani kuishi mabondeni raha mvua njoo tuendelee kubunya vya bure.....
tulizidisha sala ili kuomba mvua kwa ajili ya umeme, sasa Mungu amejibu maombi yetu. Tuhame tu mabondeni ili mvua iendelee kunyesha na kupata umeme. Si unaona magao wa nishati hiyo sasa hivi hakuna?
MUNGU atunusuru na majanga haya.
kwa taarifa yenu hatuhami najua mnaona wivu chai, ugali na ubwabwa wa bure tunaopiga kwenye makambi yetu....na kama kawaida mama yetu Tibaijuka kasema atatujengea nyumba za "faiba" so itakuwa ni mwendo wa kuelea........jamani kuishi mabondeni raha mvua njoo tuendelee kubunya vya bure.....
Makubwa haya tenaPoleni sana! Karibuni Dodoma, mkoa unaopokea mvua mara moja kwa mwaka. Huku mafuriko ni neno la kichina.