Tahadhari kwa wasafiri waendao Dodoma!!

Pole mkuu kwa waliyokukuta.

kwa kweli pole sana kaka, wakichukua ka research ka masters sijuwi inakuwaje, yaaani ni noma, hata hivyo una moyo kaka yaani kama mimi nisingelala humo kabisa.
 
free of charge.
\

mmmmmh....

lakini ni jambo linalojulikana wazi kwamba ukienda hotelini hata iwe ya gharama kiasi gani, vitu kama latop na pesa na vidani unavikabidhi reception na unapewa risiti, sasa ilikuwaje KakaKiiza akaacha laptop chumbani?

Mchawi mpe mtoto alee

Kisheria, kama walikulipa nusu ni kwa good will tu maana mara nyingi mizigo kama hiyo ikipotea na kulikuwa na tangazo, inakuwa imekula kwako mkuu

next time ukienda nambia nikuelekeze kwa wenyeji lol
 
kaka sio kwamba alitoka akaiacha room. Walimwingiza mjini wakati ameenda kuoga.
Nimekutea kupokea wageni wote wa jf watakaokuja dodoma. Sipendi wanajf wenzangu wapate shida.
 
Pole sana. Hata hivyo hakuna mji ulio salama katika eneo hilo. Kama halikukutokea mahali prngine ni bahati yako tu. From now on wakabidhi reception watunze kila unapotoka.
 
Nawashukuruni wote mliojisikia kunipa pole nawashukuru sana ila sasa nimejifunza!!Nimeanza upya sijui niwapi pakuanzia!!
 
Back
Top Bottom