Tahadhari: kwa wanaoishi Kawe,Mbezi beach na maenoe hayo.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha walinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na silaha na taarifa zao zipo Kawe police,jihadharini wanaoishi maeneo haya.
 
Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha wazinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na silaha na taarifa zao zipo Kawe police,jihadharini wanaoishi maeneo haya.

Poleni sana huko wenzetu.

Lakini hebu karekebishe hilo neno penye wino mwekundu kuna shida kidogo. Ujambazi wa aina hiyo hufanywa sana sana na vijana fulani mara nyingi wao hukaa pale Njia Panda Kwa Mkanada, eneo linaloitwa Chalinze hapo.

Perekeni taarifa pale polisi Wazo mtasaidika haraka. Kwa usawa huu tulionayo nchini mtu hapashwi kuibiwa hata kijiko cha chai.
 
Wengi tu walishakimbia hayo majumba wamejirudisha mjini taratibu.
 
Poleni kina uporoto. Hamieni huku mpwapwa. Wenzenu tunalala milango wazi. Mlinzi paka.
 
poleni sana huko wenzetu.

Lakini hebu karekebishe hilo neno penye wino mwekundu kuna shida kidogo. Ujambazi wa aina hiyo hufanywa sana sana na vijana fulani mara nyingi wao hukaa pale njia panda kwa mkanada, eneo linaloitwa chalinze hapo.

Perekeni taarifa pale polisi wazo mtasaidika haraka. Kwa usawa huu tulionayo nchini mtu hapashwi kuibiwa hata kijiko cha chai.

nakuombea wakupe lift uende ccbrt ukapime..ulichonacho moyoni si vyema kukiweka hadharani som vizuri alichoandika na ulichoandika
 
nakuombea wakupe lift uende ccbrt ukapime..ulichonacho moyoni si vyema kukiweka hadharani som vizuri alichoandika na ulichoandika

Ndugu Pdidy, mwandika hoja alikosea kweli, ila baada ya kupewa angalizo aka-edit text yake! Ndo maana wewe uliposoma unaona hakuna kosa!
Cheers
Keren_H
 
Back
Top Bottom