Tahadhari: kwa wanaoishi Kawe,Mbezi beach na maeneo hayo.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Kuna kundi la majambazi kama watano ikiwa na mwanamke mmoja wamevamia zaidi ya nyumba sita ndani ya mwezi mmoja kwa kuwalewesha walinzi kwa madawa na kukomba kila kitu.Majambazi haya yana gari na silaha na taarifa zao zipo Kawe police,jihadharini wanaoishi maeneo haya.
 
Back
Top Bottom