Tahadhari kwa Timu ya CHADEMA?

Ni vema kuwa makini kwani Kikwete mwenyewe kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kusema wana magamba hawaaminiani tena, hata kama wakiwa wanakunywa mtu akitaka kwenda maliwatoni anatamani kwenda na glasi yake kwa kuogopa kumwakyembiwa.Swali. Kikwete ameshawahi kuja na tamko tofauti kuwa hiyo hali imeisha? kama bado hao wana CDM waangalie wasije wakatoka huko wakiwa mazezeta, kwani magamba wana mbinu nyingi, subira yavuta heri tutaona mbele ya safari
 
Natumai ujumbe umefika wahusika wataufanyia kazi. Ahsanteni sana wakubwa
 
Back
Top Bottom