Tahadhari kwa Timu ya CHADEMA?

Didia

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
719
258
Kila kukicha hali ya kutokuaminiana hapa nchini imekuwa ikiongezeka kupelekea wanachi kutokuamini kama baadhi ya vifo na hata magonjwa yanayowapata watanzania wenzetu hayana mkono wa mtu. Katika wakati huu ambapo timu ya CHADEMA inajiandaa kukutana na Rais ni vyema ikazingatia pia swala la usalama mara itakapokuwa ugenini.

Kwanza: Wajumbe wasisalimiane/pongezana kwa kushikana mkono na mtu aliye vaa gloves
Pili: Siku hiyo wote wafunge.

Possibly, CHADEMA leadership might have considered and analysed security options otherwise this post is just an alert.
 
Sasa subiria uwaone wanavyokenua meno kwa kufurahi kushikana mkono na rais.....ni kama naliona tabasamu la tundu lisu ambalo litakuwa mara dufu ya tabasamu zitakazotolewa n a wenzake!
 
Huu ni ujinga eti kutopeana mikono.akili yako fupi we unafikiri viongozi wachadema wakitakiwa kuuwa unafikiri watashindwa kuuawa hakuna kitu kinacho mzuia mbowe ama slaa kuuwawa. Kama ulikuwa hujui mbowe si tishio kiasi cha kuitisha ccm ipelekee kumuua.

Watu kama kina chacha wangwe ndio walikuwa tishio wakitishia uongozi wa mbowe ndipo alipofanyiwa mauaji kupitia ajali huo nimfano mzuri ambao hahutaji kupeana mikono.

Mtu tishio alikuwa ni prof kighoma ali malima alitoka ccm kuingia upinzani na upinzani wa kweli ndo mana hakukawia. Unalinga nisha upinzani uchwara wa akina mbowe ambao leo anaipiga madongo ccm kesho unawakuta pamoja wakiwalamba visogo msio jua lolote
 
Kila kukicha hali ya kutokuaminiana hapa nchini imekuwa ikiongezeka kupelekea wanachi kutokuamini kama baadhi ya vifo na hata magonjwa yanayowapata watanzania wenzetu hayana mkono wa mtu. Katika wakati huu ambapo timu ya CHADEMA inajiandaa kukutana na Rais ni vyema ikazingatia pia swala la usalama mara itakapokuwa ugenini.

Kwanza: Wajumbe wasisalimiane/pongezana kwa kushikana mkono na mtu aliye vaa gloves
Pili: Siku hiyo wote wafunge.

Possibly, CHADEMA leadership might have considered and analysed security options otherwise this post is just an alert.

Na wahakikishe huo mkutano haufanyiki usiku. Maana Magamba wanamtindo wa kuvizia mtu akisinzia wanamuwekea Polinium 230.

Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.
ha ha ha ha !!! Kinga bora kuliko tiba!!
 
hata mchawi hawezi kukupa sumu unapomtembea anakufua nje ya nyumba yake ili kupoteza ushahidi Jk hawezi kufanya upuuzi huo Ikulu
 
Nilifikiri unawatahadhalisha wasifanywa ccm C! Raha kweli, .... Nauona mwanya mwingine wa kula kodi za wananchi kwa Ikulu kukubali kuunda kamati ya maridhiano!
 
kwani wanalazimishwa kula kama wana wasiwasi na chakula cha JK wanaweza kusema hapana na hawatalazimishwa ni uppuzi tu kufikiri Rais anaweza kutumia meza inayotumika kutafuta amani ya taifa letu kuwapa sumu chadema
 
Fikiria mara mbili hivi unafikiri kama Jk angeamua kutumia dola yake kuwadhuru chadema angeshindwa? mimi naamini anajua kuwa madhara ya kuwadhuru viongozi wa chadema chama kikuu cha upinzani kwa sasa ni makubwa kuliko kuwaacha na uhai wao. hawezi kutumia nafasi ya Ikulu kufanya usemayo
 
Siku mtakapokutana na JK nawaomba muwe makini sana na vyakula na vinywaji vitakavyokuwepo kwa sababu hamuwezi kujua kwa nini kakubali haraka kukutana na nyie, ni mawazo yangu tu.

Angalieni sana ndugu zanguni, madhara yaweza jitokeza baadae sana, kinga ni bora kuliko tiba! Kila la kheri ndugu zanguni.
 
Dr Slaa alifuatwa hadi chumbani kule dodoma bila kujua mbinu iliyotumika sioni kama kuna kazi kubwa ya kudhuru kama system ikiwa na nia hiyo. tuache mawazo mgando
 
Back
Top Bottom