Tahadhari kwa chadema:

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,940
3,041
Hii,tetesi kuwa kamati ya chama imetengua Uamuzi wa Wabunge wake ambao ni wakilishi wetu tuliowapa mamlaka ya kutuwakilisha na kutusemea ni wahatari kubwa na unataka kutuharibia Chama.

Napenda kutoa tahadhari kuwa uamuzi wowote wa kwenda kinyume na maamuzi ya kura za wabunge wa Chama kwa sasa hauna masilahi na utaibomoa chama kuliko kumbakiza au kumrudisha Mh.Zitto Zuberi Kabwe kwenye nafasi yake ya Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni.

Uamuzi huu pia ni hatari na unatukumbusha nini CCM wanawafanyia Wabunge wao.Suala la wengi wape kama utaratibu ulifuatwa lazima uzingatiwe.

Ieleweke wazi kuwa Zitto si Chadema.
Wote tunaelewa Chadema ni wanachama na wabunge waliofikia uamuzi wa kumtoa Zitto kwenye nafasi hiyo ndio hasa wenye kuchukua jukumu hiyo.

Naomba kuwasilisha.
 
Mkuu heshima yako.
Usifanyie kazi tetesi, ngoja mpaka ziwe habari kamili.
Inshu ni kwamba nafasi ya naibu kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni imefutwa kwa mujibu wa Mnadhimu mkuu wa kambi hiyo Tundu Lissu. Hakuna tena nafasi kama hiyo kwa kuwa si lazima kwa mujibu wa sheria za bunge. Kwa maana hiyo Zitto hana tena madaraka yeyote katika kambi ya upinzani zaidi ya kuwa mbunge wa kambi hiyo.

Source: IPP news
 
Mkuu asante kwa bit of inform.
Ila yafaa ieleweke kuwa tetesi kama hizi ujue ndiyo inaendelea kudhoofisha imani ya wana Chama kwa viongozi wao wa Chama ndiyo maana nimeita tahadhari!.

Hili la IPP news niweke sawa kidogo.
Is it radio,Itv or news paper !!
 
juzijuzi tu waliona kuna haja ya naibu kiongozi bungeni, sasa wanadai eti hicho cheo hakipo, wasanii utawagundua tu.

heri muje tlp kwa mzee wetu mrema. chadema kina wenyewe miaka na miaka
 
Mkuu asante kwa bit of inform.
Ila yafaa ieleweke kuwa tetesi kama hizi ujue ndiyo inaendelea kudhoofisha imani ya wana Chama kwa viongozi wao wa Chama ndiyo maana nimeita tahadhari!.

Hili la IPP news niweke sawa kidogo.
Is it radio,Itv or news paper !!
Wewe unayeendelea kuleta thread za tetesi ndiye mfadhili mkuu wa kudhoofisha chama unajua kabisa kuna thread kama hii still unaanzisha thread nyingine ya tetesi una akili kweli. Kwa taarifa yako hakuna cheo kama hicho.
 
Acheni woga -chadema im efuta nafasi hiyo na zitto atavuliwa unaibu katibu mkuu kwa sababu ni kibaraka wa ccm. Tupo pamoja na kazi inasonga mbele kwa utulivu saana.
 
Acheni woga! CHADEMA ni zaidi ya ZITO na Zito alitakiwa kufukiri kabla ya kufanya uamzi wa kutoingia bungeni. Kama vipi alitakiwa kuomba radhi tofauti na hapo avuliwe vyeo vyote. Kimsingi mimi nilimuamini sana na nilidhani mbeleni angeweza kupeperusha bendera ya chama kama mgombea wa urais, ila kwa hili mmmmmmmmmmmmmm!!!! "IF HE IS NOT WITH US IS AGAINST US".

AKILETA ZENGWE TUMPOTEZEE
 
Back
Top Bottom