Tahadhari: Kuna maji ya Kilimanjaro feki!

Yasiyochakachuliwa ni yapi.Kwa mawazo yako duni unadhani ni yale ya mtaani,ila ya Mengi hayana shida.Pole,sana.Maji yote ya chupa ni takataka,hayapashwi kunywewa na mwanadamu.Yana sumu nyingi sana,high levels of Ca,Phosphates,Floride,chlorine etc.Chemsha maji yako kunywa,na if neccesary tembea na maji yako,watatumaliza hawa.
maji ya kunywa ya nayotengenezwa na bonite bottlers ltd,aina ya kilimanjaro nayo yameisha anzwa kuchakachuliwa!kwani ni maji pekee yaliyokuwa yakiaminika kuwa ni salama,ila cha ajabu kwa sasa yapo fake kibao hususani sumbawanga,na mpanda!leo nilikuwa sumbawanga nikaagiza maji kilichonishitua ni kuona mbona haya shingo yake ni fupi!na mfuniko umepauka,na hata neno kilimanjaro juu ya mfuniko ni kama wameriandika kwa ki2 chenye ncha kali!na hata ndani maji ukiangalia c meupe kama yale tuliyoyazoea!ndio nikamuuliza muhudumu kulikoni naye anashangaa kuwa mbona kuna wa2 kama wa 3,nao wameshayarudisha,kuwa ni fake!nikaenda mpanda nako hali ni ile ile,ila yale original yanakuwa na shingo ndefu na mifuniko yake imekolea sana,na cha ajabu hata kwenye maduka ya jumla yanauzwa bei tofauti,ila kwa rejareja bei ni moja tu 1500".hivyo kuweni waangalifu mnaponunua maji ya kilimanjaro nayo yapo yaliyochakachuliwa!wahusika fuatilieni kwani kwa sasa wa2 wameshaanza kuyaogopa ukizingatia ndio maji yanayouzwa bei ya juu kulinganisha na mengine
 
Back
Top Bottom