Tahadhari: Hivi tutajuaje kama member wa JF akitutoka?

Sasa itabidi unitumie za single, maana nilizo nazo zote umepiga na yule nanihiino!...kama hii hapa chini, itafaa kweli?

african_couple_holding_shopping_bags_gogocaa01680.jpg

Duh! Kweli inabidi tujuane. Kumbe Preta ni kimobitel?
 
Msinichekeshe wanaJF. Mtu akishakufa pole zitamsaidia nini, au mnataka kuniambia JF ipo hadi motoni (ambapo wengi mtakwenda, am sure of that).

Hapa msitake kusumbua watu, cha msingi wewe mwenyewe ukijijua unataka kufa toa taarifa mapema tukuandalie mapambio.

Na kuna mtu simuoni siku za karibuni, WASHAWASHA upo au umekufa komredi? Au 'umelog OFF' Jumla
 
Mh! Kuna watu machizi!!!
 
anza wewe kwa kutuambia kila kitu chako halisi halafu wengine tutafuata.Nalog off
 
Msinichekeshe wanaJF. Mtu akishakufa pole zitamsaidia nini, au mnataka kuniambia JF ipo hadi motoni (ambapo wengi mtakwenda, am sure of that).

Hapa msitake kusumbua watu, cha msingi wewe mwenyewe ukijijua unataka kufa toa taarifa mapema tukuandalie mapambio.

Na kuna mtu simuoni siku za karibuni, WASHAWASHA upo au umekufa komredi? Au 'umelog OFF' Jumla

hahahahahaha yaani nimejikuta nacheka kwa nguvu
 
Back
Top Bottom