Tahadhari, hali ya usalama Tanzania si nzuri

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Kwa hali sii nzuri TZ,mauaji ya mara kwa mara kama ya Mwandishi wa habari,Kamanda kule Mwanza,Watu kujichukulia sheria mkononi na kuanza kuchoma makanisa N.K.Ki msingi nji nyingi zenye machafuko yalianza kidogo.Tunaomba viongozi wetu wawe wakali sana na kuchukua hatua kali sana kwa wanaohusika
 
Mkombozi uliwahi kumpigia mbuzi gitaa au kumkaribisha nyoka bia? Hakuna kinachoweza kufanyika. Maana hayo unayosema yakitokea wahusika naona kama watafaidi. Vinginevyo tuko msambweni kutokana na kukosa uongozi.
 
Last edited by a moderator:
na laisi yuko Oman anashangaa kasri lilivyozuri pamoja na mawaziri wake - source taarifa ya ITV (macho yao hayakutulia, yaling'ang'ania kutazama darini)
 
Mkifundisha watoto wenu adabu na ustaarabu, hawatochoma makanisa kam nyie mlivyo choma Qur'ani
 
na laisi yuko Oman anashangaa kasri lilivyozuri pamoja na mawaziri wake - source taarifa ya ITV (macho yao hayakutulia, yaling'ang'ania kutazama darini)
Wametia huruma wanazungusha macho kama feni Raisi Kikwete na Membe wameonekana mazuzu kweli manake wameshangaa mpaka mwenyeji amewagundua washamba wa TZ,wameacha nchi tete kabisa hawajali wanaenda kushangaa kasri mmh viongozi tunao
 
Back
Top Bottom