TAHADHARI: ATM ZA Standard Chartered Bank

Mimi nina swali, inawezekana hela itolewe kwenye account yako na ATM card nyingine lakini ionekane ni card yako, na je mtu mwingine anaweza kutengeneza card kama yako yaani a fake card na kuitumia na hela zikatoka?
 
mkuu pole sana, nilihama standard 2003, niliacha atm zao zikiwa bomba, sasa nipo kcb hayo mambo unayoyasema huko kcb ya kawaida kila kukicha wanafanya mambo ya kustaajabisha. mwe! pole sana

Bank yenyewe tu KCB kenya commercial bank, unategemea nini? huna macho?
 
Mimi nina swali, inawezekana hela itolewe kwenye account yako na ATM card nyingine lakini ionekane ni card yako, na je mtu mwingine anaweza kutengeneza card kama yako yaani a fake card na kuitumia na hela zikatoka?

maswali yako yote mawili jibu ni NDIYO.hio inaitwa CARD CLOWNING.hao wahalifu wanaweka mashine inayocopy your details kutoka ktk magnetic strip ya kadi yako.viashine hivi wanaweza kuviweka kwenye ATM bila mtumiaji/owner wa ATM kugundua au kuna vi-corner shop vya wahindi/china/pakistan huwa wana hivi vimashine ukizubaa anaswipe card yako.wakishapata hizo details wanatengeneza kadi ingine na wanaitumia bila shida.
 
Back
Top Bottom