Tafsiri yangu..mhh makubwa...kutuletea ma uzoefu ya UN yanatusaidia kweli?

JF-MBUNGE

JF-Expert Member
May 1, 2012
421
160
Waheshimiwa sn...nakumbuka nilienda kusoma miaka ya 1980 hv niriporudi nilirudi na mradi ya afya kwa ajili ya magonjwa ya watoto...,hata Mh. Sugu kama nilisikia aliomba mradi wa maralia watu wakaupiga juu kwa juu auuu????/sasa leo hii watu wanapata kufanya kazi UN kwa miaka mitano.....wanamaliza wanarudi na uzoefu kibao hii inasusaidiaa kweli..yaanii hata ka mradi kamoja tuu ka kufuga kuku basi kwa kina mamaaa...ili watu wapate ajila na klupunguza umasikini hakuna..mhhhh

kweli kama UN tunarudi na mauzoefu tuu tena ya Un sijui yanatusaidiaje sie nchi masikini...je ukiwa katibu kata utarudi na nini?

Tafakari
 
Back
Top Bottom