Tafsiri kwa Picha!

hahahahha hapa itavaliwa ya Congo.. mkaka asimame aliwa mtupu atembee chumba kizima akijipitisha pitisha huku akimtikisa tikisa mhshmiwa.... kitaeleweka tu! Hahahaha mi ctaki

Mbu kuna unachontafuta haki ya nani leo!!

:A S 8:...Ssshhhhhh, ....kidogo kidogo...'watoto wamelala!'
...halafu na mashaka Nyamayao hajakusoma shurti za kivazi cha khanga za india...
 
Ha ha ha sisy............. ila mwenzetu una bahati maana kwa wengine ukimtikisia kiberiti siku ya kwanza itakula kwako maana waweza'nyimwa' wiki nzima.

kuna wakati niligoma na yeye akaendeleza mgomo bila huruma, khaa nilifanya jitihada za kumtega mpaka tukaenda sambaba...dearest ulishawahi kujipikilisha uchi? bac unashika hiki unaacha unagusa hiki, unampitisha hapa, mara umeenda kubadili channel, mara cjui kitu gani, mbona uzalendo ulimshinda?
 
Mara ainuke huyooooo kwa Da Sophy...
 
:A S 8:...Ssshhhhhh, ....kidogo kidogo...'watoto wamelala!'
...halafu na mashaka Nyamayao hajakusoma shurti za kivazi cha khanga za india...

shughuli haziishagi, mara ka g-string upo jikoni unapika, mara unapita sitting room unadondosha kitu makusudi ukikiokota tu, ujue kama kuna nyama jikoni ukaepue kwanza ndio muendelee...lol..MJ1 kuna watoto humu ndani jamani wakina Finest na Roy hawajakua uctake kulianzisha kabisa.
 
[/COLOR]

kuna wakati niligoma na yeye akaendeleza mgomo bila huruma, khaa nilifanya jitihada za kumtega mpaka tukaenda sambaba...dearest ulishawahi kujipikilisha uchi? bac unashika hiki unaacha unagusa hiki, unampitisha hapa, mara umeenda kubadili channel, mara cjui kitu gani, mbona uzalendo ulimshinda?
Hahahahhaha leo nimecheka sana kama nakuona nyamayao mara ujifanye waokota kitu uvunguni mwa kitanda,..... mara mdudu kakutambalia ah mara wamrukia kisa umeona mende......na vile u plain lile joto walah lazima umshinde hahahah mgomo baridi!!
 
Mara ainuke huyooooo kwa Da Sophy...

hapana....hatakuwa na nguvu za ku drive mpaka huko, kuna utaalamu wake sio ili mradi tu...halafu baadae mkimaliza anakuuliza "saa ulikuwa unagoma nn"...haya sasa tuongee vzr mambo ya kukacrikiana sio mazuri"...lol, shughuli finito.
 
unhappy-couple-in-bed1-300x199.jpg

...na hapo je? ...khanga ya India haivaliki!
Kweli nimeamini mtoto mtembezi atakula miguu yake... huyo jamaa kachelewa nyumbani
 
shughuli haziishagi, mara ka g-string upo jikoni unapika, mara unapita sitting room unadondosha kitu makusudi ukikiokota tu, ujue kama kuna nyama jikoni ukaepue kwanza ndio muendelee...lol..MJ1 kuna watoto humu ndani jamani wakina Finest na Roy hawajakua uctake kulianzisha kabisa.

Watching....:becky::becky:...endelea....wanangu wapo shule..
 
Hivi ni nyingi eeh?
Kaizer ni nyingi sana bana hasa kama lengo ni kussawazisha mambo!! lol usipoangalia utakuwa unachachawa akitoka unawaza kenda'pata' nini akiingia bafuni utakagua vyumba vyoote, jikoni hadi nyumba ya jirani kuhakikisha watoto wa kike wote wapo hakuna anayemiss especially wasichana wa kazi. Mradi puresha tu
 
There may be a conflict btn these two, jamaa anajifanya amelala lakini han raha, thats why uso wake haujarelax, mama nae anaonekana kama kuwaza kitu flani hivi ambacho labda ni kizuri ila sio rahisi kukipata, au labda ni kibaya.

Mh watu waoneni tu wakitembea rodini, humo majumbani waachieni.
 
Hahahahhaha leo nimecheka sana kama nakuona nyamayao mara ujifanye waokota kitu uvunguni mwa kitanda,..... mara mdudu kakutambalia ah mara wamrukia kisa umeona mende......na vile u plain lile joto walah lazima umshinde hahahah mgomo baridi!!

cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.
 
...umeanza tena, ha ha ha!

kuna wakati niligoma na yeye akaendeleza mgomo bila huruma, khaa nilifanya jitihada za kumtega mpaka tukaenda sambaba...dearest ulishawahi kujipikilisha uchi? bac unashika hiki unaacha unagusa hiki, unampitisha hapa, mara umeenda kubadili channel, mara cjui kitu gani, mbona uzalendo ulimshinda?

...haipewi uji hiyo kusema eti njaa ikiuma 'utaidanganyia toto', ha ha ha...

B727BC716FD04E47924BEF51C07DD15A.ashx

...If walls could talk!....

Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!
Kwa sababu moja ama nyingine, huyu dada hajaridhika, na atakuwa amenyimwa mchezo....!
 
cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.
FUNGUKA MAMAAAA la nyama yake!......

The Following User Says Thank You to Nyamayao For This Useful Post:

Teamo (Today)​
 
Nyamayao.......duh umehitimu dada yangu loh hapa machozi yananitoka kwa kucheka. Ehee wajifanya kiuno kimeumia akikosea kukigusa hapo hapo na unatoa dozi kubwa ......lol
 
Sasa hapa Mbu mkuu angalia Luv Nyamayao na switushka MJ1 wataihamisha hii sredi sasa hivi...au wanataka ban nn>LOL......
 
cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.

80620653.jpg

...mmnnnh, Nyamayao una mbinu kali! shida ya mtu kama wewe hubembelezeki kiurahisi.
" ...s'taki---- nataka--- s'taki!"...LOL!
 
Back
Top Bottom