Tafsiri kwa Picha!

ha ha ha, hivi ume note jamaa yupo bare chested wakati mwanamke 'kalala na nguo?'
ana hila nini huyu?!

eti kalala na nguo :frusty:, si unamvua tu kimapenzi akikataa unamuonyesha mkataba wenu :A S-omg: wa kulala kama mlivyozaliwa.
 
Tatizo siyo picha halisi.
Haina ujumbe unaotaka kutuambia.
Angalieni, jamaa picha iko vivid, mrembo very bright.(Picha kitanda kimoja haiko hivyo)
Kuna umbali kati ya wawili hao
Haya ya kufikirika siyo vizuri sana kuchangia.
 
B727BC716FD04E47924BEF51C07DD15A.ashx

...If walls could talk!....

Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!

kwanini unatuletea picha za maigizo tuzijadiri, hapa hakuna reality.
 
Tatizo siyo picha halisi.
Haina ujumbe unaotaka kutuambia.
Angalieni, jamaa picha iko vivid, mrembo very bright.(Picha kitanda kimoja haiko hivyo)
Kuna umbali kati ya wawili hao
Haya ya kufikirika siyo vizuri sana kuchangia.

kwanini unatuletea picha za maigizo tuzijadiri, hapa hakuna reality.

...tunazungumzia perception, visionary effects and judgments.
Kwa walio oa/kuolewa naamini wameupata ujumbe.
Hata kama picha ni ya maigizo, au si picha halisi, body language ndio mada inayozungumziwa hapa.
Wachangiaji waliotangulia kila mmoja amejaribu kuandika tafsiri ya taswira aionayo.

"wakati mwingine ni busara kuchungulia na nje ya boksi kama kweli umeamua kuutaka ukweli wa boksi ulilojifunika nalo!"

...:focus: ....
 
kwa mfano wa picha inavyoosha mie naitafsili kama mwanaume kapitiwa usingizi pasipo kumaliza gogoro ndani ya moyo wa mwenza wake .na ndo maana mwanamama hajapata usikuzi akijiuliza kwa nini inakuwa hivyo

...nachokupendea 1stLady huoni ajizi kutoa mtazamo wako kwa jinsia yako. Safi sana.
Ladies wengi naamini watakuunga mkono.

Utabadilika vipi naye ukimgusa anakwambia, "Tafadhali naomba usiniguse." halafu anasogea mbali zaidi nawe.
A%20S-confused1.gif

...THE KING, unatafsiri kwa mfumo dume weye...msome 1stLady hapo juu na mtazamo wake unaolenga hisia za kina dada/kina mama.
Anyway, kwa mtizamo wa kiumeni...unadhani ni busara kuuchapa usingizi na kumuacha mamsapu na simanzi bin majonzi tele?

Niliwahi kuusiwa, kutolala mpaka baada ya kulizungumza na kukubaliana kutatua jambo lililokera ili kesho yake mnaamkia na siku mpya na mambo mapya.
 
@Gama na Katutula (just worried what a coincidence for you two)

Title ni body language, and the photo is spot on hakuna cha kuhoji, hujaambiwa pictue quality au pixels ngapi... au basi hujaambiwa sema huyo dada body language yake ni swahili au kichina

Mbu used artistic expression kwa wanajamii kupata ujmbe, wenye interest wamepata
 
jaman mdada anatia huruma cjui kanyimwa kitu au anawaza kitu!

......if walls could talk...........
 
wametibuana awa na bwana he dont mind ila bibie ndo ivyo tena
2.anamuwaza john wake wa zaman
3.anataman a un do ndoa lakin ndo ivyo tena aiwezekan ..she z like..dah ningejua wala nisingekubal ikuish na lijitu ili
uyo kaka kapiga nje tayar so yupo full bt bdada apo wala hana ata substute!:embarrassed1:
 
...ha ha ha, Rose wa 1980 mbona u pessimist hivyo?
Mimi naona na ukubwa wa kitanda unachangia hapa,
Kwenye Kitanda cha tatu na nusu kwa sita 'upweke' wa huyo mdada wala usingekuwapo.
 
...ha ha ha, Rose wa 1980 mbona u pessimist hivyo?
Mimi naona na ukubwa wa kitanda unachangia hapa,
Kwenye Kitanda cha tatu na nusu kwa sita 'upweke' wa huyo mdada wala usingekuwapo.

Mbu mbona kuna njia nyingi tu za kukifanya kitanda kikubwa kuwa hakitoshi??... bi ubunifu tu na utundu ah........ wajifanya hujui kulala kikike mara guu hilo pande ule au ndo wasogeza kigudi mbele kabisa ya mlango wa mbele wa mhshimiwa sana ati.

Jamani muwe na jioni njema kwa wale mlo bongo na wengine kote muwe na happy hours!!
 
Ni kama kaka kagoma kuoga hivi au unanuka pombe!

...ha ha ha, Nyadhiwa 'umeua!' ...au inawezekana ni co workers tu hawa, imewabidi ku share chumba!
Huenda bro hapo keshajitahidi ushawishi aaminiwe hatamgusa na joto limemlazimu alale kifua wazi, lakini mdada haamini!

Mbu mbona kuna njia nyingi tu za kukifanya kitanda kikubwa kuwa hakitoshi??... bi ubunifu tu na utundu ah........ wajifanya hujui kulala kikike mara guu hilo pande ule au ndo wasogeza kigudi mbele kabisa ya mlango wa mbele wa mhshimiwa sana ati.

Jamani muwe na jioni njema kwa wale mlo bongo na wengine kote muwe na happy hours!!

...O la la !!!! ha ha ha, MwanajamiiOne acha utundu. Utawaamsha waliolala! ha ha...
Jioni njema!
 
Give a guy a break he is jaded from daily challenges...she craves attention and romance but he is readying himself for what tomorrow holds for them..
 
...ha ha ha, Nyadhiwa 'umeua!' ...au inawezekana ni co workers tu hawa, imewabidi ku share chumba!
Huenda bro hapo keshajitahidi ushawishi aaminiwe hatamgusa na joto limemlazimu alale kifua wazi, lakini mdada haamini!
...O la la !!!! ha ha ha, MwanajamiiOne acha utundu. Utawaamsha waliolala! ha ha...
Jioni njema!

Oopsiiiii .... s.o.r.r.y eh

Aksante kaka yangu loh umenikumbusha mbali mweeh!!
 
Give a guy a break he is jaded from daily challenges...she craves attention and romance but he is readying himself for what tomorrow holds for them..

...ha ha, eti ana crave attentionj. Si ndio mapenzi yenyewe hayo bro Ruta?

Oopsiiiii .... s.o.r.r.y eh

Aksante kaka yangu loh umenikumbusha mbali mweeh!!

...we shauri yako, usijesema i didn't warn you! ...LOL!
 
......Hapa bana walimaliza kufanya mchezo wa baba na mama, mwanamke hakufikishwa kunako(kileleni)......mwanaume baada ya kumaliza tu akaanza kukoroma ndio maana mdada anaonekana kama ana mawazo vileeeeeeeeeee!!!
 
all, hii picha iko very interesting, the moe i watch it, the more i get excited...

Imagine hiyo ni jumapili mchana na mama kajaribu kuamsha jamaa halafu jamaa is not waking up baada ya stress ya the whole week, MJ1 dont say a word, mama A atanuna
 
Anaonekana mwanaume kamaliza shida zake nje, sa mdada kakataliwa.
 
Back
Top Bottom